Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,639
- 729,582
Post hii ni mkusanyiko wa maswali kupitia pm na ziada
Kwanza niwapongeze wale wote waliojaribu kufanya meditation kwa vitendo na kukutana na hali za ajabu kushangaza ama kutisha... Hizo ni hali za kawaida sana kwa beginners, kwahiyo sio hali za kuogopa ama kukukatisha tamaa.... Zinapotokea hizo jua uko kwenye uelekeo sahihi endelea
Kabla ya kuanza meditation akili/ufahamu wako unakuwa umezongwa na uchafu mwingi wa kimaisha na changamoto zake
Ajira
Ujenzi
Manunuzi
Karo za watoto
Ndugu
Mahusiano
Madeni
Visasi nk nk
Hivi tunaita ni calamities na hindrances kwenye mind inayotaka kuwa huru.... Kwahiyo mambo hayo hufanya ufahamu wako kuhama na kuwayawaya mitaani maofisini barabarani nyumbani nk nk... Mind inakuwa haiko settled moja... Na maranyingi kuipa nafuu hatufanyi ya kutatua tatizo bali kuahirisha Kama kwenda sehemu za starehe ama kutumia vilevi...tunaita kurefresh mind... Short terms refreshments.....
Unapoanza meditation, kusudio kubwa la Kwanza ni kuurudisha ufahamu nyumbani...utulie sehemu moja... Bringing back the mind.... Yani ifike mahali uichagulie mind yako cha kufanya na si yenyewe ikuendeshe
Ni katika mchakato huu wa kuukusanya ufahamu wako na kuurudisha sehemu moja lazima ukutane na mambo yafuatayo
-mivumo ya sauti za ajabu
-kizunguzungu
-kuhisi kichwa kinavimba ama kuuma
-kuhisi unaanguka kwenye shimo refu sana
-kuona nyotanyota na maumbo ya ajabu
-kutoka vipele
-kutapika na hata kupata homa (advanced stage)
Kwahiyo naomba niwape moyo wale wote walio kwenye hili zoezi waendelee bila kukoma hizo dalili ni ishara kwamba mnaenda kwenye mstari sahihi