Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum. ITIFAKI IMEZINGATIWA. Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni...
60 Reactions
118 Replies
6K Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa wito kwa wananchi kutumia ipasavyo miundombinu ya majitaka, hususan katika kipindi hiki cha mvua zinazoendelea, ili kuepuka...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kuainisha na kutenga maeneo maalum ya uchimbaji visima virefu vya maji katika Mkoa wa Dar es salaam. Hatua...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewakumbusha wateja juu ya umuhimu wa kuzingatia zoezi la usomaji na uhakiki wa mita mara baada ya kupokea ujumbe wa usomaji mita...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Leo nilikuwa nimeketi zangu ubalazani kutokana na heka heka za mvua iliyonyesha Leo tangu Asubuhi Hadi arasili kwahiyo watu wengi hatukufanikiwa kufika kwenye maeneo yetu ya kutafutia riziki...
4 Reactions
3 Replies
323 Views
  • Redirect
3 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz, ainunua kampuni ya vyombo vya habari ya Kenya ya Nation Media Group yenye makao makuu yake jijini Nairobi nchini Kenya. Rostam ameinunua...
4 Reactions
– Replies
– Views
Nimepita tiktok nimekutana na hiki kipande cha video kinachohusu kutelekezwa kwa gari la abiria,sasa wengi tulitamani kujua kilicho peleka mpaka gari hii kutelekezwa. Wachangiaji wote nilio...
2 Reactions
5 Replies
242 Views
Naam kwanza niwaombe moderators huu uzi msiunganishe na uzi wa mwanzo kwa sababu nimetumia garama zangu kufanya utafiti kwa miaka 8 nimerudi na majibu sahihi kwa walalamikaji Maana mimi mwnyewe...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyabiashara wa dawa za binadamu (pharmacy) katika Wilaya ya Bagamoyo. Ningependa kuwasilisha changamoto kubwa inayowakumba wagonjwa wanaotibiwa katika hospitali ya wilaya hiyo...
2 Reactions
3 Replies
395 Views
Ni kweli wapo wengine pia wana njisia zote mbili kisukuma wanaitwa bhakima gosha(jike dume) haya ni maumbile yao walizaliwa hivyo na hawana namna. Sasa kisayansi imekaaje hii watalaamu je kuna...
2 Reactions
6 Replies
431 Views
Quran ni kitabu kilichokamilika na hakina mashaka ndani yake 1. Issa alizaliwa chini ya mtende. Wapi? Quran 19:22 - 23 Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha...
4 Reactions
35 Replies
653 Views
Kwa sababu ina toa maoni wasiopenda KUSIKIA watawala . Kuna uhuru wa kutoa maoni Kuna wa expose wafisadi na wabadhirifu. ..........ongezea Nataka KUSIKIA kutoka kwa upande wako. Ni sababu gani...
7 Reactions
21 Replies
306 Views
Napenda kutoa sifa na pongezi kwa watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, kuanzia Manesi, Madaktari, Walinzi, na Wataalamu wa X-Ray kwa kazi wanayofanya. Tofauti na dhana za wengi, kwamba...
4 Reactions
11 Replies
299 Views
Kuna jamaa mwanamke wake katoa mimba mwezi wa 7 mwaka jana Leo anamwambia anaumwa tumbo anataka waende hospital akatibiwe hio changamoto au atume hela
2 Reactions
15 Replies
330 Views
Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam. Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata. Huwezi kuwanasa...
25 Reactions
69 Replies
3K Views
Katika kuhitimisha siku mia za uongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye alielekeze huduma za matibabu ziwafikie wananchi popote walipo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Back
Top Bottom