Ni Watanzania wengi ambao bado tuna michango yetu katika Mfuko wa PPF kabla ya kuunganishwa katika mfuko mmojs ns mifuko mingine kadhaa kuwa PSSSF, licha ya kwamba tumechangia pia NSSF.
Sasa...
Wakulima wa tumbaku wa Kata ya Kasuga, Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma tumedhulumiwa fedha malipo yetu tangu Mwaka 2025, hela yetu haijalipwa, tumekosa Watu wa kutupazia sauti.
Muda mrefu umepita...
TAARIFA YA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA UCHELEWESHAJI WA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA MIKATABA KUPITIA MTANDAO WA JAMII FORUM TAREHE 08/03/2026
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Nikiwa kama Mwanadamu mwenye akili nyingi kuliko wote nchini Tanzania,Nakuja kwenu wananchi wenzangu hasa wananchi kutoka Mkoa wa Mara wilaya ya Tarime...
Una sifa zote za kuwa Jamii ya siri
1. Haipendi uzushi.. Kama ukiwekwa utqondolewa ama utapelekwa kwenye uhakiki
2. Ukimya: Haijipigii debe Kama mitandao mingine
3. Usiri wa wanachama: Ukiacha...
MAISHA NDANI YA UMASIKINI NI DARASA TOSHA.
Kuna msemo unasema, "Umasikini ni mbaya tena unatia haya." Nami nakubali kwamba umasikini ni mbaya sana, tena siupendi.
Kwa wale waliopitia maisha ya...
Kwa ujumla na kiuhalisia, baadhi ya Wabongo ni watu wanaofanya mambo kwa taratibu na kujivuta. Hata hivyo, kwenye duka la dawa (pharmacy) ni eneo ambalo mtu anapaswa kujitahidi kufanya mambo kwa...
Wabillahi taufiq,
Nimeona taarifa za kusilimu kwa watu maarufu wa mitandaoni bongo hivi karibuni, kuanzia Pierre Liquid, Snura majanga na Gigy money.
Watu wakisilimu taarifa zao hujaza sana...
Habari wanabodi. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Kuna jambo moja linanitatiza sana hadi leo sijapata jawabu.
Kwa kuwa humu kuna wataalamu wa theolojia na...
Kwani kusudi la maisha ni nini?
Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa...
Mfanyabiashara na mwekezaji wa Tanzania, Rostam Aziz amesema uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG) unalenga kupanua shughuli za kampuni hiyo na si kupunguza wafanyakazi. Rostam...
Dhambi kubwa.
Watu wanapenda kwenda kuzika, kuliko kwenda kusalimia wagonjwa hospitali, watu wanasafiri kilometa mia tano kuzika, lakini nusu kilometa ya kwenda msalimia mgonjwa hawezi!
Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba...
Kampuni ya teknolojia ya kimataifa, Uber, imetangaza kusitisha rasmi huduma zake nchini Tanzania kuanzia Januari 30, 2026.
Uber, ambayo inajulikana kwa kutoa huduma za kuunganisha abiria...
Katika hali isiyokua ya kawaida mama mmoja mkazi wa kijiji cha Kimira Masama Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro anayefahamika kama "Mama Asha" ameuliwa na kuchinjwa na kijana wake wa kiume
Inadaiwa...
Shirikisho la Kimataifa la Wafanyakazi wa Uchukuzi (ITF) limeitaka serikali ya Mali kuchukua hatua baada ya wimbi la mashambulizi mabaya ya msafara kuwalenga madereva wa malori ya usafirishaji...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya maji kwa wakazi wa Mpiji Magohe, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo, hatua...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kufufua na kuboresha kisima cha kuzalisha maji cha Keko Bora kilichopo Mtaa wa Bora, Kata ya Chang’ombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.