Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu wajuzi wa Mambo nimepangiwa kwenda kufanya kazi mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi wajuvi wa Mambo mnipe ABC kupoje je kuna fursa ipi huko? Mimi ni mtumishi wa Afya je huko ni njaa kama...
9 Reactions
102 Replies
2K Views
Kama Mzazi WIZARA ingetoa MUONGOZO unaohusu Haki za Mtoto na Mzazi ju ya muda wa Shule kulingana na Umri Darasa la nne na la Saba A) WATOTO kutakiwa kwenda Shule siku za Sikukuu za kitaifa...
0 Reactions
2 Replies
369 Views
Wakuu I salute you kinsmen.. Ukiachana na kwamba na mimi nasomesha pia ila pia nimekuwa nikifuatilia sana jambo hili linapoelekea naona sio pazuri kabisa nchi itaanguka. Well Hizi shule za sasa...
8 Reactions
26 Replies
706 Views
Mgogoro baina ya wafanyakazi na uongozi wa Kampuni ya Sahara Media Group Limited hauoneshi dalili za kuisha hivi karibuni baada ya taarifa kuibuka kwamba kampuni hiyo imewasimamisha kazi...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna kero inatukabili Wakazi wa Mbande Kisewe, hii barabara ya kutoka Mbande hadi Kisewe Stendi hapa Kituo cha Polisi kuna dimbwi kubwa la maji linalosababisha usumbufu kwa Watumiaji wa barabara...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetoa msaada kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Sekondari Pugu, wilayani Ilala. Msaada huo ni sehemu ya mchango...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Andrew Temu, akizungumza wakati wa makabidhiano ya matundu 10 ya vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Vodacom Tanzania Foundation katika...
1 Reactions
2 Replies
212 Views
Kama umegundua, hivi karibuni kumekuwa na changamoto za upatikananji wa internet, na kwamba askari walikuwa wamewaga mitaani kwa wingi kuliko kawaida, wakiwa na silaha. Labda usichoelewa ni...
2 Reactions
0 Replies
206 Views
Leo 12.3.26 yaani muda huu saa moja asubuhu, niko hapa Miembe 7 hakuna gari linalokwenda au kurudi. Sereikali mko wapi? Nasikia mneongeza tozo huko bandarini, mnafikiri mkiboresha bandari kwa...
0 Reactions
3 Replies
210 Views
Inashangaza kuona Waziri Mkuu akitoa taarifa ambazo hazijafanyiwa uchunguzi mbele ya umati wa watu. Katika sekta ya afya nchini Muunguzi na mkunga ni kiungo muhimu sana, ni vibaya na aibu kuona...
3 Reactions
4 Replies
308 Views
Rais Magufuli akiwa leo anazindua Jengo la Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni amemsifu Waziri Jafo kwa kumsimamisha kazi lakini amesema yeye amemfukuza kabisa. Amesema "Juzi nilimsikia...
11 Reactions
259 Replies
28K Views
Jinsi ya kuwa na mvuto au kupendwa na watu wengi kupitia njia za Mungu. Katika maisha , universe(ulimwengu) unakupa kitu kulingana na frequency au vibration ulionayo.ili uweze kuwa na high...
4 Reactions
6 Replies
710 Views
Mvutano katika Mashariki ya Kati umeshika kasi zaidi leo baada ya meli ya mizigo kushika moto kwenye Mlango-bahari wa Hormuz, kufuatia shambulio lililohusisha "vitu vya kurushwa visivyojulikana."...
4 Reactions
10 Replies
337 Views
Anonymous
Tarehe 4 Marchi uhamiaji walitangaza mfumo wa kielektroniki haupatikani , lakini hadi leo tarehe 11 March mfumo bado haupatikani, je kwa safari za dharura utaratibu upoje ? naomba kusaidiwa
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Shutuma mpya kutoka kwa CHADEMA Zanzibar wanadia kuwa CHADEMA haipeleki Ruzuku Zanzibar Wanachama wa Zanzibar hawaishii hapo vilevile wanadai kuwa CHADEMA imekithiri ubaguzi wa dini wakidai kuwa...
-1 Reactions
8 Replies
222 Views
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeanza mapambano dhidi ya ongezeko la kunguru wa India ambao sasa wamekuwa kero kubwa kwa jamii, mazingira na hata sekta ya utalii visiwani humo. Waziri wa...
4 Reactions
19 Replies
360 Views
X, Signal, Telegram, JF imezuia Tanzania kwa muda mrefu Nataka kumshauri anayefunga kuwa alisahau Facebook, Instagram, Threads, Whatsapp, Snapchat, TikTok, YouTube na mingineyo Ni kana kwamba...
3 Reactions
7 Replies
214 Views
Anonymous (646f)
Ndugu zangu tunaomba hili suala la meter za maji kuibiwa Moshi likomeshwe, hili jambo nilikuwa naliona kwa wenzangu kila mara mitaa yao wanaibiwa meter lakin asubuhi ya leo nimekuta mita kama tano...
1 Reactions
1 Replies
283 Views
Ilikuwa hivi: Usiku wa tarehe 12 Oktoba 2002 huko Bali, Indonesia, ulianza kama sherehe ya kawaida. Muziki ulipigwa kwenye vilabu vya starehe, watalii wakicheza na kufurahia maisha. Lakini ghafla...
5 Reactions
11 Replies
255 Views
Ndio maana baadhi ya watu wanaishia kuwa machawa,waimba mapambio.
5 Reactions
7 Replies
247 Views
Back
Top Bottom