Hakika sasa tunawaziri Mkuu mtendaji mwenye kujali kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Anancho kifanya waziri Mkuu ndicho haswa wanacho kitaka watanzania.
Sasa viongozi wengine, Mawaziri...
Leo nilikuwa hapo kariakoo kununua pamba Hawa jamaa wanazingua kinyama yaani Kuna mmoja nimemuambia mzee kalime viazi hii sio kazi ni usumbufu Kwa raia ningekua na bunduki.
Mngesikia winga kala...
Zanzibari wote ni wahamiaji tu. Asili yao wote ni wabara hivyo tuache kubaguana wabara nao waruhusiwe chochote kama wazanzibari wanavyo ruhusiwa sio tu kuishi lakini kuweka makazi. Raisi Hassan...
Habari zenu wakuu!?
Natuamini mko pouwa kama unaumwa au una smongo wa mawazo basi polee mkuu, yanamuda tu yatakuwa poua.
Niende kwenye maada. Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya ambapo kwa kuona na...
Angalia Star TV, member mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja wa wageni waalikwa ndani ya jicho letu ndani ya habari.
Wanazungumzia report ya CAG.
Cc. Pasco
UPEMBUZI YAKINIFU WA KITABU CHA MTU TAJIRI ZAIDI BABYLON
"THE RICHEST MAN IN BABYLON"
Na LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA.
KWAMBA,
THE RICHEST MAN IN BABYLON ni kitabu...
Ustadhi Juma Hussein Kilaghai mmoja wa Waislamu 12 waliowashitaki RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii zilizopo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani, Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na BAKWATA hii...
Sheikh Issa Ponda ambaye ni miongoni mwa Waislamu 12 waliofungua kesi dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali)...
Sasa hizo Hela mnazohongwa huwa mnazipeleka wapi Dada zetu hadi mnatutesa hivi tukija Kulala nanyi Mlikopanga?
Kumbe ndiyo maana hata tukiwaombeni Kuwatembeleeni mlikopanga mnakataa...
Leo tarehe 12 Machi 2026, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), sanjali na wadau wengine wa masuala ya haki za binadamu wamekutana na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa...
Sheikh Issa Ponda akijibu maswali ya Wanahabari hii leo Machi 12, 2026 katika uzinduzi wa Kitabu chenye tafsiri ya hukumu ya shauri namba 27603/2024 kati ya Waislamu 12 dhidi ya Serikali (RITA...
Na Mwandishi Wetu
Morogoro — Wakati magonjwa yasiyoambukiza yakizidi kuwa tishio kwa afya ya jamii nchini, Vodacom Tanzania Foundation imeanzisha kambi maalum ya matibabu bure kwa wakazi wa...
Kampuni ya Grammarly inakabiliwa na kesi nzito (class action lawsuit) iliyofunguliwa Machi 2026. Kesi hii inahusu kipengele chao cha AI kilichojulikana kama "Expert Review" (ambacho sasa...
Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee.
Inawezekana...
Hivi ushawahi kuona wapi Waziri mkuu wa UK Yuko mitaani anatatua changamoto za wananchi?
Hata hawa majirani tu Rwanda, Kenya, Uganda, Zambia ati kuona Waziri mkuu wa Taifa fulani anafanya ziara...
Mwenyekiti wa Tume ya kutathmini matumizi ya ardhi katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, Dk Gerald Ndika, amesema mfumo wa matumizi mseto ya ardhi ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro umeleta...
Wananchi wa Kijiji cha Mbuchi, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani wanapitia katika kipindi kigumu kutokana na hali ya miundombinu ya Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi kuwa...
Rais Samia Suluhu, akipokea taarifa ya Tume za Rais alizoziunda kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro...
Mwenyekiti wa Tume ya kutathmini matumizi ya ardhi katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, Jaji Dkt. Gerald Ndika, amesema baadhi ya wananchi katika maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba wameeleza...
Kiukweli nmeshangaa sana, leo ndio nimejua Denis ssebo wa EFM kumbe kafariki tokea jana? Duh! Nimepita sehemu wameweka TVE ndio nikaona.
Imekua ngumu sana kujua maana ni muda mrefu sana sifollow...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.