1. Kabla ya kuoa mwanamke, mjue vizuri mama yake.
Mabinti huchukua tabia za mama zao
2. Oa mwanamke atakaye kuheshimu hata kama ana hasara au umemkosea
3. Usipende kutamka neno 'nakupenda' au...
Kwenye maisha ya mwanadamu hapa duniani, pesa sio kila kitu… lakini ukweli usiosemwa mara nyingi ni kwamba pesa inatatua karibu asilimia 99% ya changamoto tunazokutana nazo. Ukikosa pesa kwenye...
Mwanaume anakuwa mzuri akiwa na pesa.
Mwanaume anapendwa akiwa na thamani.
Mwanaume anaogopwa anapokuwa na mamlaka na ushawishi.
Mamlaka, thamani na ushawishi yanaleta mafanikio ya kipeasa...
Tumesoma vitu vingi kuhusu historia, tumesikia pia zikisilimuliwa ila zipo ukisikia unahisi kama kuna namna kuna kipande kilipindishwa na ukweli wake kufichwa.
Mfano mie kila nikisikia kuhusu...
Unapokuwa kutoka kiwango kimoja kwenda kingine usiogope kulipa gharama ya kupoteza(Growth require price to pay).
Katika maisha watu wanatamani kukua lakini wanaogopa kupoteza kitu ambacho...
Kama kijana ukitaka uimalike kifikra unapaswa uchukie na uwe kando na kile chochote kilicho kuwa na umaarufu katika utamaduni wa watu weusi
■Makalio makubwa
■Kulalamika kila tabu ni kwa sababu ya...
Kuna siku katika pita pita zangu tulipishana kauli na kijana mwenye rika la kwenye miaka 29 (nimemzidi umri),
Ni mtoto wa kishua ambae hata kazi kapata kwa connection, cheo kikubwa na pesa ipo...
Tazama picha za Jose wa Kitaa na Jose huyo huyo ndani ya vizimba vya mahakama Iringa .
Ndoto za kusaka utajiri zitaishia jela kwa kijana Joseph aliyemkatakata mtoto wake na kusagasaga mifupa yake...
Huu ndio ukweli
The so called watu wazima, wengi wao wameshakatia tamaa bara la Afrika, wanalazimisha na Gen Z wakubaliane na hali kwamba sisi bara letu lipo nyuma na tutabaki.kuwa hivyo milele...
Kuna taarifa inaendelea katika mtandao wa YouTube ikilalamikia kuwepo kwa kundi la baadhi ya Wakristo waliowafuturisha baadhi ya Waislamu kwa kuwakaribisha Pilao ya Kitimoto na mahubiri ya...
Dawa hii ya unga mchanganyiko wa mitishamba ilijipatia umaarufu mkubwa miaka ile kuelekea mwishoni mwa tisini mpaka 2000+...mtandao wa maduka yake ulisambaa sehemu kubwa ya nchi na kuleta manufaa...
Mwezi umeisha na mengi. Usije Tanga kama huna pa kulala. Malaya bei juu pia. Kondomu nazo adimu. Mwendo wa acapella. Abood za kutosha (mtu unaweza kuwahi alfajiri ukachuja saa 6 usiku unageuza na...
Nimesoma taarifa hii nachelea kusema kuwa Kenneth Simbaya amalizane na hao waratibu. Hii ni aibu na fedheha kwa Taasisi kubwa nchini.
---
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU UKIUKWAJI WA HAKI ZA AJIRA...
Wangapi tunakubaliana sasa kuwa kwa anachokifanya Israel hasa Kimashambulizi dhidi ya Maadui zake wao ndiyo Mabingwa wa 'Intelligence' duniani?
Na wanachonifurahisha zaidi ni kwamba Mashambulizi...
Samahanini nauliza tu kwa nia njema hivi Mama yake Humphery Polepole mbona siku hizi hamtafuti / hamuulizii tena Mwanae kwa Matamko yake ya Hasira?
Na kama labda ameshampata Mwanae na yupo nae...
Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha
Sidhani kama kwa sasa Iran wanategemea sana vifaa vya kijeshi vinavyotumia umeme. Kwa kiasi kikubwa, mifumo mingi...
If your presence doesn't make an impact then you absence won't make a difference
As youth in any place in world we need to change mindset from find only person success to success which impact...
Hii sio hadithi bali ni simulizi yangu iliyobeba uhalisia wa yale niliyopitia nikiwa JF.. Mimi ni introvert.. Hivyo si mwepesi sana kusimulia maisha binafsi kama walivyo extrovert
Nilijifunza...
Wakuu kwa ambae kanunua umeme,luku jana na leo kwa kutumia voda simshauri kuna tatizo kubwa sana huko voda watu tulionunua umeme jana leo tunalia na kusaga meno pesa zetu hazijarudishwa kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.