Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shalom shalom Nipo kwenye group ambalo members wake asilimia 99 ni makafiri huku kobaz tukiwa wawili tu. Vilevile huo mkoa asilimia kubwa ni hawa ndugu zetu katika imani asilimia 99...
5 Reactions
13 Replies
286 Views
Chawa lazima watamtafsiri vibaya.
4 Reactions
7 Replies
256 Views
Unakuta mtu amevaa sketi fupi mwenyewe halafu anaanza kuivuta vuta chini akiwa anakaa au anatembea! Au gauni linapeperuka anahangaika kulirudisha. Wengine unukuta kavaa nguo/juba/dera kubwa mno...
11 Reactions
59 Replies
753 Views
Kama utapitia mtandaoni hasa tiktok utakutana na mtu anaeitwa KIBOKO YA WACHAWI, huyu anatutukana sana na kutudharau. Lakini kwanini amefika hatua hii japo nimekuja kumfahamu/kusikia baada ya...
4 Reactions
8 Replies
351 Views
Mgambo wa maadili wa Sharia katika Jimbo la Katsina, Nigeria wakiwa na viboko na marungu wamevamia lodge mojawapo jimboni humo na kuanza kutandika wateja. Majimbo 12 kati ya 36 ya Nigeria yana...
4 Reactions
18 Replies
305 Views
Maisha ni nguvu na mwenye nguvu ndio anakuwa mtawala na mtawala ndio anakuwa na mamlaka . Sio kwamba watu awakuoni Wala awakuheshimu Bali kuna kitu ndani Yako ambacho Bado ujakiamsha kimelala na...
3 Reactions
7 Replies
292 Views
Mwaka juzi na mwaka Jana, hapakua na pakukanyaga, yani ilikua balaa hupiti mpaka upenyeze ila mwaka HUU HATA sarakasi unapiga VIZURI TU je, Watu hawana hela au matamko tata ya viongozi wa dini...
2 Reactions
1 Replies
152 Views
Kristu Ni Tumanini Letu. Mapendo Daima. Binafisi huwa napenda kusali misa ya 1. Ibada ya misa ya kwanza huanza mapema na kuisha mapema pia. Baada ya hapo unaendelea na kazi zako za kila siku...
3 Reactions
11 Replies
208 Views
Jana niliona carrier ya ngazi mbili imebeba magari ya bei mbaya sana zikiwemi G wagon mpya mbili. Leo hii tena nimeona carrier kama ile ile ya jana nayo ina magari bei mbaya sana ikiwemo range za...
2 Reactions
13 Replies
258 Views
Hii kitu sio sahihi, hamjatoa maji zaidi ya wiki 2 , halafu mnafungua maji lisaa 1 mnatuma bill ya maji halafu mnakata. Eeeeeh aiseeee
1 Reactions
0 Replies
93 Views
Habari za asubuhi Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi...
16 Reactions
65 Replies
753 Views
Tupeni habari kamili bila upendeleo. Habari zenu zimegemea sana marekani na Isreal badala ya kutupa habari sahihi za vita. Mnatupa kauli za Trump na letanyahu huku kauli za Iran mnazitia kabitini...
5 Reactions
13 Replies
242 Views
Kwema Wakuu! Ni Stress hapa! Ni sonona hapa! Kihoro kinakaba kama pumu huku. Yaani hapa mambo sio mambo. Kuna Watu wanakuambia umri ni number tuu lakini huko ni kufarijiana tuu! Hakuna kitu...
36 Reactions
227 Replies
10K Views
Kwa mtu (raia wa Tanzania) ambaye anataka kwenda kutalii mbuga za wanyama kama Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha, Katavi, nk akiwa peke yake anapaswa kuandaa jumla Tsh ngapi for a...
3 Reactions
24 Replies
712 Views
Nimekua najiuliza sana. Watakaobainika wameongezeka uzito warudie funga.
5 Reactions
37 Replies
373 Views
Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo, Ushauri wa Claude umenyooka sana na...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Kwa nini sikuhizi kila post ambayo inaonesha busara za Samia zinapata reaction nyingi za kucheka. Ni kama hamchukulii serious anachokisema. Sijapenda 😂😂
13 Reactions
42 Replies
713 Views
Back
Top Bottom