Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanazuoni wa kiislam, wanaelimisha kuwa ni vyema muislam kujiepusha na aina zote za Bima Aidha iwe ya afya, chombo cha moto, nyumba, biashara n. K Bima ni gambling tu, yaani pata potea, Kwa...
7 Reactions
38 Replies
565 Views
Tarehe 25 Machi 2013, baada ya Rais Xi Jinping kuchukua wadhifa wa Urais wa China, alitembelea Afrika kwa mara ya kwanza. Alipohutubia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl. Nyerere...
4 Reactions
1 Replies
205 Views
Na je, tuna sababu ya kuamini kuwa akili ya bandia ni rafiki wa binadamu? Miezi kadhaa iliyopita, nilikuwa nikisikiliza vijana wawili wakijibizana katika basi la mwendo kasi kuhusu programu mpya...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi? Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana...
6 Reactions
17 Replies
976 Views
Kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa inadaiwa kuwa Askari Polisi mmoja amefariki Dunia kwa kujipiga risasi akiwa kazini, Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Haijajulikana wazi chanzo cha kujipiga...
1 Reactions
1 Replies
218 Views
Yaani mtu amekabidhiwa TBC, chombo cha habari kikubwa halafu kwenye kuaga baada ya kukalia kiti miaka 10 anashukuru hakutumbuliwa na anaenda mbali zaidi eti anawananga wabaya wake hivi kweli? Mtu...
5 Reactions
11 Replies
298 Views
Wana JamiiForums wenzangu, Nilibahatika kwenda nje ya nchi kwa ajili kujiendeleza kielimu. Nikiwa Amsterdam kwa ajili ya kuunganisha ndege, nikakutana na mzungu ambaye alikuwa anakuja Tanzania...
73 Reactions
409 Replies
61K Views
Mungu anapofanya kitu kwako. NAwe wakumbuke wengine pia. Usiwe mbinafsi. Ukifanikiwa kupata usiwadharau waliokosa na kuamini kuwa wao ni wazembe. Kupata ni Majariwa. Unamwona ng'ombe pamoja na...
2 Reactions
0 Replies
114 Views
Sharp boys and girls Tunaomba codeee wakuu Tunaomba michongo ya kusurvive hapa mjini
4 Reactions
13 Replies
257 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Ibrahimu Kitundu (18), msanii wa maigizo na mkazi wa Kata ya Ipuli kwa tuhuma za kufanya shambulio la aibu kwa kumwingizia uume mdomoni mtoto wa kiume...
3 Reactions
7 Replies
496 Views
Hapa sasa nakubaliana na Mzee Kikwete hasa aliposema Akili za kuambiwa changanya na zako. Inawezekana vipi mtu amezwe siku3 nzima mchana na usiku Kisha akatapikwe akiwa Yu hai? Haihitaji maelezo...
14 Reactions
329 Replies
3K Views
Why do i find generation patterns scary! Tell me why we repeat same cycles from every now and then its like same script plqyed by different people Mfano.... if one is raised in an emotionally...
15 Reactions
163 Replies
2K Views
Maisha yanatoka ndani kuja nje soma hapo chini kuelewa zaidi. Katika maisha watu wengi wanawekeza nguvu zao kujijenga nje kuliko kuwekeza ndani ambapo ndio chanzo cha kila kitu. 1.Mungu(imani)...
5 Reactions
7 Replies
306 Views
Kwa nini Kanisani na misikitini viongozi wakubwa na matajiri hupewa umuhimu, kipaumbele au nafasi za mbele zaidi ikiwa kwa mungu watu wote ni sawa? Mfano RC kuna kitu kinaitwa Wakatoliki wa...
4 Reactions
13 Replies
267 Views
Sisi watu tuna akili ndogo. Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu? Mwafrika mweusi mwenzangu namuona...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba. Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu. Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya...
4 Reactions
108 Replies
2K Views
Wakazi wa Mtaa wa Kigamboni Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi,wameeleza kukasirishwa na kitendo cha askari mmoja wa kituo cha Polisi Mpanda Mjini kuwaita wananchi wa mtaa huo kuwa ni Kenge...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KWA WASANII WACHONGAJI WOTE NCHINI KUJISAJILI NA KUWA NA KIBALI HAI CHA BASATA IFIKAPO TAREHE 18 APRILI, 2026 Kwa mujibu wa Kanuni ya 23 (1) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) za...
5 Reactions
20 Replies
487 Views
Wako na umaarufu hadi hapa Kenya kila pahali mabango mganga hatari kutoka Tanzania. Mara Dar, Tanga lakini huwa naamini ushirikina
4 Reactions
8 Replies
178 Views
Ni kwa sababu hii ni dunia ya mwenye nguvu na mamlaka, kwa maana hata machifu/watemi waliokuwa na nguvu na mamlaka kuliko babu zetu ndio waliowakamata babu zetu na kuwauza kwa wazungu na waarabu...
1 Reactions
4 Replies
158 Views
Back
Top Bottom