Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi halitavumilia Askari wanaojihusisha na majukumu yasiyo yao, ikiwemo kujivisha Vyeo vya Taasisi...
Hawa Jamaa walitumia ujanja na. ushirikina kutapeli wakulima n.a. wafanyabiashara
Mara ya mwisho niliacha kuwafuatilia nilipoenda Ulaya kwa masomo, niliporudi sikuwakuta
Kama Kuna mtu wa zamani...
Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.
Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa...
Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili.
Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza...
Watanzania elimu ni tiba ya kutatua matatizo siyo kusoma tu kama unasoma gazeti. Inakuwaje mwanachuo ulalamike mitandaoni na upo na utawala hapo hapo ,na Kuna suggestion boxes kibao, na umesoma...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Serikali imeanza mazungumzo na UNESCO pamoja na Uongozi wa Kampuni Mama inayomiliki Faceebok, Instagram na WhatsApp (META) ili...
(CHANZO CHA PICHA, REUTERS)
Mkuu wa huduma za dharura anasema idadi ya watoto waliouawa nchini Iran tangu vita kuanza Februari 28 imeongezeka hadi 208.
Katika taarifa ya video iliyochapishwa na...
VIPAOMBELE VIKUU VYA MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 30+
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kila umri unavipaombele vyake. Umaana wa maisha unauleta wewe kupitia vipaombele vyako.
2. Ili...
Je lengo la wewe kuishi duniani ni lipi?
Kuna wakati unatakiwa kujiuliza swali kama hili ambalo ni la msingi kuliko yote: kama usingekuwepo kabisa, dunia ingekosa nini? Si kwa maana ya watu...
Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini
Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia...
Katika kipindi hiki ambacho dunia inakumbwa na misukosuko ya kiuchumi inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na migogoro ya kimataifa, hususan katika ukanda wa Mashariki ya Kati, nchi nyingi zinazoagiza...
Halafu mwenye namba ya Simu ya huyu Ndata (Polisi) tafadhali naomba anitumie PM kwani ongea yake tu inashawishi 'Kumnaniliu' na anaonekana ni Mtamu hakuna mfano.
Haya Mashemeji zangu wa zamani...
Naomba kuwasilisha kero yangu huku nikiomba faragha yangu ilindwe, hivyo sipendi kutajwa au kujulikana kuwa mimi ndiye mtoa taarifa hii.
Mimi ni mkazi wa Kigamboni, eneo la Geza Ulole. Kumekuwa...
Kisingizio hakiwezi kuwa mbuga kwani kuna mbuga nyingine zenye barabara za lami kama Mikumi.
Kisingizio si lazima kuwa ikolojia au kusema mbuga ni urithi wa dunia, ingawa hayo ni kweli. Hata...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la baadhi ya vijana wanaojiita watengeneza maudhui ya mtandaoni, lakini njia wanazotumia si sahihi na zinakiuka maadili ya kijamii.
Mmoja wa...
Nina idea ya kufanya content fulani za education mtindo wa cinematic ila account zangu zote za social networks zina username tofauti na nili follow watu ambao hawapo kwenye niche yangu kwa kuwa...
Leo hii Kuna foleni kubwa inayokera na kuchelewesha biashara kati ya Dar-Tunduma na Dar-Dom-Mwanza/Rwanda lakini Bado Serikali inajibuta vita Haina plan Wala timeframe ya kujenga hiyo Barabara...
Ifahamike kwamba Barabara ndio kichocheo kikubwa Cha Maendeleo ikifuatuwa na umeme.
Mwaka 2005 Serikali ilitangaza Bungeni Hadi kufikia 2020 ,Makao Makuu ya Mikoa yote Tanzania Yatakuwa...
Kikao maalum kwa ajili ya wanaume kitafanyika April 2, Mlimani City na kimeandaliwa na @prophetipm kikilenga kuwakutanisha wanaume watu wazima pamoja na vijana ili kujadili masuala muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.