Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Kilichonipa hamasa ya kuja na mjadala huu ni kauli ya Mwenyekiti wa Chadema (Taifa), Freeman Mbowe, aliyoitoa hivi karibuni ambapo alitamka (nanukuu): "Iwapo CCM itashinda uchaguzi mwaka 2015...
36 Reactions
140 Replies
39K Views
Hudhaniwa na wengi kwamba Marekani hupenda sana vita, hasa kwa nchi zenye mafuta. Vita ni moja ya mbinu za kupata uwanja wa kujigemea mafuta wapendavyo. Dhana hii inaweza kuwa yakinzana na...
23 Reactions
14 Replies
8K Views
Kwa nini members wengi wanajadili sana maswala ya Rwanda, Burundi, Kenya, Somalia kuliko mambo yanayowahusu hususan yanayotokea ndani ya Tanzania? Pamoja na kuwa member wa hii forum kwa muda...
5 Reactions
18 Replies
6K Views
Wakuu habari Kuna hii shida ya bidhaa kutoka nje kukosa maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili. Mi utakuta umenunua dawa lakini ina maelezo ya kiarabu, kifaransa kiingereza, kirusi nk lakini...
13 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibuni wadau kwa hiki kinachoitwa kiu ya uzalendo chenye mchanganyiko wa mada mbalimbali za kisiasa na kijamii. Ili tupate kuelimishana.
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Kati ya tukio lililochukua headlines kwenye mchakato wa CCM kuwapata wagombea wake wa nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu ni kitendo cha Mwenyekiti wa muda wote na mmiliki wa...
11 Reactions
2 Replies
4K Views
Uzuri wake ni kuwa nchi ikipitia depression pesa yako haitapoteza thamani. Unaweza kuhifadhi kwa Japanese Yen, British £ au USA $ au hata €. Si lazima uwe na ma hela, hizi 40,000 au laki...
30 Reactions
26 Replies
29K Views
Dr Kitila Mkumbo anakula ‘matapishi yake’ ACT kuvuruga juhudi za katiba ya Wananchi CCM yapumua, ujio wa ACTkupunguza nguvu za upinzani Wanajamvi, Siku za karibuni chama kipya cha ACT(Alliance...
48 Reactions
2K Replies
176K Views
Uchaguzi Marekani UCHAGUZI MKUU WA MAREKANI Baada ya kumalizika chaguzi za ndani ya vyama, kilichopo ni uchaguzi mkuu wa Marekani Wagombea ni Donald Trump wa Republican na Hillary Clinton wa...
26 Reactions
563 Replies
79K Views
  • Redirect
Kumekuwepo na mjadala mpana sana kuhusu mantiki mbili za maendeleo kwenye mitandao ya kijamii, nami ningependa kutoa maoni yangu kuhusu jambo hili, Kuhusu maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wanaJamiiForums, Kuwa makini na mawazo yako, muelekeo wa maisha yako unategemea sana aina ya mawazo unayoyakaribisha kichwani mwako, tofauti kati ya mtu mwovu na mwema ni mawazo yao na...
46 Reactions
0 Replies
5K Views
Biashara ya filamu imeenda chini sana kuanzia enzi za Kanumba kwasababu hakuna ubunifu. Mimi kama diaspora nimefanya uchunguzi kujua kwanini hii inatokea. filamu zetu zinaiga na kujaribu...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
I was reading an article on the political economy of Tanzania, which discusses a number of issues including the state of CCM and opposition in the country. One of the issues that is extensively...
29 Reactions
18 Replies
7K Views
Pana haja ya kuanzishwa (iwapo bado) shirika mahsusi wa kutoa misaada itokayo nchi za Afrika kwenda nje ya Afrika. Sikumbuki kusikia shirika la misaada la nchi yoyote ya Kiafrika. Kama lipo...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Watanzania tuna tatizo moja kubwa sana, nalo ni umaikini, umadhubuti, uwajibikaji wa usimamizi wa kanuni, sheria hata katiba! Si kweli kuwa sheria nyingi ni dhaifu, butu au hakuna "makali" ya...
10 Reactions
5 Replies
5K Views
Well, heshima mbele sana JF, - Ninaomba kusema tena na tena, we were Dead wrong na idea za Azimio La Arusha, infact ndilo limetufikisha hapa tulipo yaani tumekwama hili taifa, hatujui...
16 Reactions
470 Replies
48K Views
Ni hao wakuu. Wandugu uchumi wa China na ukuaji wake ni jambo la kuogopesha sana kwa ukubwa wake. Miaka michache ijayo China itaongoza kiuchumi karibu kwenye kila sekta. Kwa huo uchumi mkubwa...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna kitu cha msingi na cha muhimu ambacho tunapaswa kutoa kwa watu wetu. Kitu ambacho kitatuunganisha na ambacho ndiyo msingi haswa wa uwepo wa taifa lolote. Bila msingi huo, hakuna taifa ambalo...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Pengine umefika wakati mamlaka husika zikaruhusu utaratibu wa kuwa na Individual Retirement Arrangements (IRA) hapa Tanzania. IRA hizi ziwe tax-deductible, na ikiwezekana tax-exempt. Faida zake...
10 Reactions
0 Replies
5K Views
Back
Top Bottom