Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

MI5, MI6, CIA, KGB, & Mass Mind Control Crime, Freedom, Government & Politics, Human Rights, Opinion, Russia, Technology, UK, USA & Americas, War, World secservpicjpgWe are told that we face...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nimependa kuchangia kidogo tu kuhusu nidhamu na umuhimu wake katika kuleta maendeleo ya Taifa lolote lile, ama ya taasisi yoyote ile, ama ya mtu yeyote yule. Nidhamu ninayoiongelea hapa...
7 Reactions
8 Replies
3K Views
I here attach the presentation done by Ndugu January Makamba at the National CCM Youth Leadership Council. I would want us to review it kidogo. I like the presentation because it has data that...
22 Reactions
51 Replies
7K Views
Leo sina mengi nawakumbusha ya kwamba ubora wa Taifa lolote lile hutegemea sana na ubora wa mawazo ya watu wanaounda Taifa hilo pamoja na nidhamu ya watu wao. Kwa kuwa mtu ni mawazo anayofikiri...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwaka 2005 JK alituahidi Taifa Stars itaenda Ghana hatukwenda na sasa kaahidi Taifa Stars itaenda Brazili kila mtu anajua hatuendi sasa ahadi hizi ni za nini? Wakati JK anahaha na kupoteza maboya...
11 Reactions
17 Replies
3K Views
Agriculture has bankrolled Tanzanian economy for a long time, contributing as much as 27.8 per cent of the gross domestic product (GDP).It remains potentially the most lucrative sector of the...
16 Reactions
12 Replies
3K Views
Katika Taifa hili naamini kabisa kuna watu bora ambao wanauwezo wa kubadili mwelekeo wa Taifa hili kama wakipewa nafasi. Wanaoamini katika Taifa hili na uwezo wake wa kufika mbali ikiwa...
8 Reactions
27 Replies
7K Views
Kiongozi ni kama mwendesha farasi, akiwa bora atamwendesha farasi katika mwelekeo maalumu lakini akiwa hajui kumweka sawa farasi atayumbishwa, ni lazima ajue kumshika vizuri farasi na...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Here is my re-analysis of F4 results, comparing the actual results vs. politically standardised one. Happy reading...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna aina mbili za mataifa maskini; Kuna taifa ambalo ni maskini lisilo kuwa na matumaini na kuna taifa ambalo ni maskini lakini lenye jitihada. Taifa lolote maskini na lenye jitihada ni lazima...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilikuwa nasoma kitabu kilichoandikwa na Michael Longfold kiitwacho "The Flag Changed at Midnight: Tanganyika's Progress towards Independence." Katika kitabu hiki, Michael Longfold anaelezea...
23 Reactions
18 Replies
7K Views
Wakuu Kwa kimombo kama sijakosea maneno hayo ni Patriostism, Efficiency na effectivenss. Kwa kiongozi au mfanya maamuzi yeyote hayo ni mambo matatu muhimu ya Kuzingatia. Katika Kudadavua...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Tafiti na vipimo mbali mbali vya mahusiano kati ya maendeleo katika jamii na imani za kidini vimebainisha migawanyiko na mahusiano ya imani za kidini kati ya nchi moja na nyingine na mendeleo kwa...
16 Reactions
148 Replies
26K Views
Katika kuangaza macho kwenye media nilikutana na hotuba/mahojiano ya Nyerere na akakiri kwamba wao kama wapigania uhuru hawakuwahi kuleta jambo jipya liwalo lolote katika nchi hii. Kama ni...
3 Reactions
9 Replies
7K Views
Nimeonelea msome hii taarifa ya BBC kwa malengo matatu 1. Kukumbuka utata wa uwekezaji wa OBC ambao ulimtoa roho Stan Katabalo miaka 20 iliyopita na sasa utawatoa roho wengine 2. Uporaji wa haki...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
The special mining licence has been granted to Mantra Tanzania, a subsidiary of Australian company Mantra Resources, acquired by Russian uranium company AtomRedMetZoloto (ARMZ) in 2012. Mkuju...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Juzi hivi Magufuli- Waziri wa Miundo mbinu- alituhadaa pale alipokuwa akifungua mkutano wa TANROADS kule Mwanza kuwa kuanzia sasa fedha za bajeti ya ROAD FUND kuwanufaisha wazawa na kwa kufanya...
25 Reactions
26 Replies
6K Views
Kiini cha kesi ya Raila na CORD dhidi ya tamko la IEBC kuwa Uhuru Muigai Kenyatta alishinda Uraisi wa Kenya ni kuwa zilikuweko mbinu chafu za kuhakikisha mitambo ya IEBC haifanyi kazi hivyo hesabu...
11 Reactions
13 Replies
4K Views
Ilikuwa ni Oktoba 19 mwaka 2009 wakati waziri Mkuu mpya wa serikali ya Ugiriki George Papandreou's alipotangaza kuwa Nakisi kwenye bajeti ya serikali yake itakuwa kubwa kuliko ilivyofikiriwa awali...
8 Reactions
40 Replies
5K Views
Though it was the former president Daniel Arap Moi who cut the political teeth of both Uhuru and Ruto but for some divine intervention it is Ruto and not Uhuru who has been the most effective...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom