Lets privatize Ikulu, Bunge na Mahakama...

Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
4,494
Likes
392
Points
180
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
4,494 392 180
Enough is enough! Kila siku unasikia vioja kila kona, Serikali kuu, Bungeni, mahakamani na mwishowe kwa jamii.

It's about time we find wabia, foreign investors to completely run our country. If our Government which has 3 branches is failling to be effective to run efficiently while being accountable with progressive planning, what is the use to have such government?

If we Watanzania have reached a point we can not trust our Government and people given mandate to lead and govern, why not tell the world that we are in need of competent bidders to form and run our government?

Lets go out on Financial Times, Economist, Business Weekly and Wall Street Journal and make a declaration that we are privatizing our government.

We need a Raisi, Wabunge, Majaji na mahakimu. We need a new government made by a combination of Wawekezaji, be it Wachina, Wamarekani, Warwanda, Waingereza hata Wagagakikikoko, let them come in and run our country to prosperity, maana sisi wenyewe we are running it to despair!
 
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,505
Likes
234
Points
160
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,505 234 160
Kishoka,
Let me beg to differ. Ikulu ya Watanzania ni sacrosanct. Hatuwezi kuibinafsisha. Tunachohitaji kufanya ni kuwafukuza hawa mamluki waliojipachikiza kama viongozi wetu kumbe wanahudumia maslahi ya colonial masters. Tuwatambue mamluki for what they are, notwithstanding their nice smiles, and tell them to go to hell--or kick them to hell ourselves. Enough is enough!
 
M

Mama

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2008
Messages
2,858
Likes
23
Points
0
M

Mama

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2008
2,858 23 0
.......Afadhali tu kuomba kuwa colonised?kwani hakuna taifa litakalokubali sisi kuwa koloni lao
 
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
4,494
Likes
392
Points
180
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
4,494 392 180
Kishoka,
Let me beg to differ. Ikulu ya Watanzania ni sacrosanct. Hatuwezi kuibinafsisha. Tunachohitaji kufanya ni kuwafukuza hawa mamluki waliojipachikiza kama viongozi wetu kumbe wanahudumia maslahi ya colonial masters. Tuwatambue mamluki for what they are, notwithstanding their nice smiles, and tell them to go to hell--or kick them to hell ourselves. Enough is enough!
Jasusi,

Tuwafukuze tumpe nani? maana kila kona tumejaa majungu, ujanja ujanja, ubangaizaji na kutokuaminiana.

Zaidi kila siku ni mashinikizo ya kulindana kikundi hata kikundi. Sasa mzigo huu mzito na kazi hii nzito ni nani kati yetu ataiweza ikiwa mikingamo ni kila kona?

Do we need a fresh start kama Mama anavyosema tuwe Koloni kwa muda fulani takriban miaka 40 (ili tuepuke lile angamizi la Beno Ndulu), halafu tukipata uhuru na kuzaliwa mara ya pili tutakuwa tayari kujitawala?
 
Kasheshe

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Messages
4,699
Likes
101
Points
145
Kasheshe

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2007
4,699 101 145
Walioko, wataokuwepo ni product ya jamii yetu... sidhani kama kubinafsi uongozi wajuu inatosha...

Je utabinafsha na serikali za mitaa pia?

Acha matusi mkuu!!!

Wewe endelea na kubeba maboksi huko uliko... sisi tutabanana hapa hapa!!!(kwi kwi kwi)
 
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
4,494
Likes
392
Points
180
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
4,494 392 180
Walioko, wataokuwepo ni product ya jamii yetu... sidhani kama kubinafsi uongozi wajuu inatosha...

Je utabinafsha na serikali za mitaa pia?

Acha matusi mkuu!!!

Wewe endelea na kubeba maboksi huko uliko... sisi tutabanana hapa hapa!!!(kwi kwi kwi)
Kasheshe,

Majani machafu hujaacha? kubeba maboksi na matofali ni muhimu kwi kwi kwi.

Hata Serikali za Mitaa si sehemu ya Serikali kuu au ndio Unafiki?
 
K

KakindoMaster

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2006
Messages
1,351
Likes
58
Points
145
K

KakindoMaster

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2006
1,351 58 145
Yes Mkuu

Kama s,iyo kuwaambia watawala kuwa watanzania wamechoka na siasa zetu wanahitaji maendeleo, na kama hawako tayari kuleta maendeleo kuna mambo mawili hapa.

1. Either wanyoshe mikono wafunge kila kilicho chao na waitishe uchaguzi mwingine.

2. Alternatively hawana budi kusikiliza vilio vya waliowapa madaraka.
 
T

think BIG

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2008
Messages
236
Likes
13
Points
35
T

think BIG

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2008
236 13 35
kwanza kabla ya ku-privatize hizo taasisi, angalia tuliyopata katika privatization! Je mmeshapata kusoma "Makuhadi wa Soko Huria"!

Huu ndio wakati wa kusimama na kueneza habari njema "hatuwataki watawala hawa"!
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,882
Likes
61
Points
135
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,882 61 135
Enough is enough! Kila siku unasikia vioja kila kona, Serikali kuu, Bungeni, mahakamani na mwishowe kwa jamii.

It's about time we find wabia, foreign investors to completely run our country. If our Government which has 3 branches is failling to be effective to run efficiently while being accountable with progressive planning, what is the use to have such government?

If we Watanzania have reached a point we can not trust our Government and people given mandate to lead and govern, why not tell the world that we are in need of competent bidders to form and run our government?

Lets go out on Financial Times, Economist, Business Weekly and Wall Street Journal and make a declaration that we are privatizing our government.

We need a Raisi, Wabunge, Majaji na mahakimu. We need a new government made by a combination of Wawekezaji, be it Wachina, Wamarekani, Warwanda, Waingereza hata Wagagakikikoko, let them come in and run our country to prosperity, maana sisi wenyewe we are running it to despair!
REV ingawa kuna watu wanaona kuwa this is like a joke, mimi kwa upande fulani naona kuna ukweli na ulazima wa kufanya hivyo. MSINGI wa ubinafsishaji ulikuwa ni inefficiency, corruption, embezzlement, poor perfomance ya viwanda.
Ukiangalia utaona kuwa vyote hivyo viko evident kwenye serikali yetu, sina hakika kwa bunge na mahakama. Bunge naona kama lina uchovu fulani na ni kama serikali inanguvu mara 10 zaidi kuliko bunge, wabunge hata mishara yao na kila kitu wanategemea kutoka serikalini, kwa hiyo hapo tayari kuna mazingira yenye rutuba institutional corruption, na serikali ikisema "double salary" kwa wabunge huenda wote wanaweza kupiga makofi na kusahau issues zote.
Ukiangalia efficiency na effectivenes na serikali ya mkoloni utaona kabisa kuwa walikuwa serious na kazi kuliko hawa wa sasa. Japokuwa nao walikuwa wezi, tena majambazi lakini tuliona matokeo ya kazi zao, hawa wa kwetu sasa hivi ni tofauti.
Tukiwaita wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali kama ulivyosema, tukawaambia fanyeni kazi hii, mtalipwa kiasi hiki i have no doubt mambo yatakuwa mazuri zaidi.
 
That is my point, how do we change a system which is so corrupt that even if Salim, Slaa or Zitto will became Presidents they will be facing the same thing?

Muhimbili walipoletewa Mzungu, walibadilika sana kiutendaji na ufanisi. Lakini majungu yalipokolea, tukafukuza mzungu, tumeleta mwenzetu, libeneke lile lile enzi za kina Sarungi, Mbaga, Mseru na wengine limerudi!

Vifo vya wagonjwa kutokana na uzembe, hujuma na upupu kibao, namuonea huruma huyo Lema.

Sasa kama mahali kama Muhimbili panatoa taswira ya nchi ilivyo, kuna ubaya gani kuleta Mchina au Mrusi awe Rais kwa miaka 15, atuchape viboko tunyooke?
 
Pezzonovante

Pezzonovante

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2008
Messages
643
Likes
6
Points
0
Pezzonovante

Pezzonovante

JF-Expert Member
Joined May 1, 2008
643 6 0
That

Sasa kama mahali kama Muhimbili panatoa taswira ya nchi ilivyo, kuna ubaya gani kuleta Mchina au Mrusi awe Rais kwa miaka 15, atuchape viboko tunyooke?
REV NAMJUA MUHINDI ANAYE PATAKA IKULU KUPANGISHA INAWEZA KUTUSAIDIA SWALA NI KUUZA NYUMBA ZA SERIKALI UKIMTAKA WEWE NIELEZE ATANUNUA FUNGU LA KUMI NITAWAKILISHA KWAKO MKUU NATANGULIZA NA SHUKRANI YOUR THIEFFULL OR NO YOUR FAITHFULL.
PEZZONOVANTE
 
W

WildCard

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2008
Messages
7,494
Likes
104
Points
160
W

WildCard

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2008
7,494 104 160
Lakini mliomo humu(JamboForums) mnaonekana Watanzania kwelikweli kwa kauli zenu. Jitokezeni tuwakabidhi nchi.
 
K

Kipanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
679
Likes
12
Points
0
K

Kipanga

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
679 12 0
Rev, is that short, intermediate or long term strategy????
 
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
4,494
Likes
392
Points
180
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
4,494 392 180
Rev, is that short, intermediate or long term strategy????
It will all depend on how long it will take us to shape up to become industrious, efficient, effective, accountable, innovative, dilligent, honest, trustworthy and hard workers!
 
Pezzonovante

Pezzonovante

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2008
Messages
643
Likes
6
Points
0
Pezzonovante

Pezzonovante

JF-Expert Member
Joined May 1, 2008
643 6 0
Lakini mliomo humu(JamboForums) mnaonekana Watanzania kwelikweli kwa kauli zenu. Jitokezeni tuwakabidhi nchi.
UJITOKEEZEE WAPI LABDA TUMLAAMBE VIATU KING MAKER ROSTAM WE WILL NEVER,HALAFU UNAANZA KULIPA FADHILA, WILD CARD WEWE SI KING MAKER UTAMPA NANI NCHI,WEWE SUBILI TISHETI ZA UCHAGUZI, NA UBWABWA.
 
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,842
Likes
96
Points
145
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,842 96 145
Rev.Kishoka umezua jambo naumemgusa Kasheshe kaacha mada kakimbia matusi .Si kila akaae nje ya Nchi anabeba ma box .Lakini point tako Rev ina ukweli .Ikulu Jumba tu pale hakuna kitu ndiyo maana waanambiwa bila ya kueleweka juu ya mafisadi hakuna pesa ya bajeti wan haha lakini tukisema sisi madharau kibao sasa kwa nini tusiweke rehani Serikali hadi baadaye ?
 
M

Mkandara

Verified Member
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,458
Likes
184
Points
160
M

Mkandara

Verified Member
Joined Mar 3, 2006
15,458 184 160
Rev. KIshoka,
Unajua mkuu hii mada inatisha sana!...
Inatisha kwa sababu inaonyesha wazi kwamba tumechoka hata kufikiria kwa sababu hakuna mwanga hata kidogo wa maendeleo. Tumechoka kwa sababu tunafanya tena kosa la Uvivu wa kufikiria na tunaanza kukata tamaa.

Binafsi nimeweza kujifunza kitu kimoja kikubwa sana hivi majuzi nalo ni hii hulka ya kusubiri mtu aubebe msalaba. sisi sote as a nation tumeshindwa kufikiria kwamba maendeleo huletwa na sisi wenyewe. Mapinduzi yoyote ya Kiuchumi ama kisiasa huletwa na wananchi wenyewe..na hata siku moja mbegu toka nje haiwezi kuota na kustawi vizuri ktk mazingira tofauti isipokuwa yataua mimea asili ya sehemu hiyo.
Nguvu zozote toka nje siku zote huwa ni kwa maslahi ya nchi hiyo hakuna unafuu na wala hakuna mtu anayeweza kukwambia maendeleo ya wananchi wenyewe ktk taifa linalotawaliwa. Utawasikia wengine wakitoa mifano kama Australia, Peru na baadhi ya visiwa wakashindwa kutazama maisha ya Mzawa wa nchi hizo...
Tunarudi palepale kwamba tusiyatazame maendeleo ya nchi kwa kutazama Utajiri wa nchi bali utajiri wa wananchi wenyewe kwa sababu tatizo kubwa la Umaskini wa Mdanganyika ni WATU sio ardhi yetu...
Hivyo huyo mwekeshaji ataendelea kuipamba nchi kwa dhahabu ya maghorofa lakini maisha ya wananchi wenyewe yatabakia kuporomoka kama wale watu wa kale wa Australia ama Afghanistan...
Jamani msifanye chezo kabisa wa kutawaliwa kwani watazame wahindi wekundu wa Marekani kama ndio wazawa wa nchi hiyo usitazame maisha ya wahamiaji..
The first thing Utawala wa kukodisha hufanya ni kuondoa Umoja na nguvu ya wenyeji, na sidhani kama umeweza kutazama upande huo..
 
Gembe

Gembe

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2007
Messages
2,505
Likes
32
Points
135
Gembe

Gembe

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2007
2,505 32 135
Mawazo Mengine Bwana,Tuwe tunafikiria kwanza
 
Kitila Mkumbo

Kitila Mkumbo

Verified Member
Joined
Feb 25, 2006
Messages
3,347
Likes
101
Points
160
Kitila Mkumbo

Kitila Mkumbo

Verified Member
Joined Feb 25, 2006
3,347 101 160
Mawazo Mengine Bwana,Tuwe tunafikiria kwanza

Hii mada ukiiendea juujuu unaweza ukafikiri aliyeiandika hajafikiria. Inabidi utulie kidogo ili kupata anachokisema Rev. Ma Rev husoma falsafa, sasa mkuu angalie isije ikawa wewe ndio hufikirii ahaaa haaa !
 
Gembe

Gembe

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2007
Messages
2,505
Likes
32
Points
135
Gembe

Gembe

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2007
2,505 32 135
It's about time we find wabia, foreign investors to completely run our country. If our Government which has 3 branches is failling to be effective to run efficiently while being accountable with progressive planning, what is the use to have such government?
Kitila nyie sie ndio huwa mnalalamika kwamba ni hatari kubinafsishaji hata wa kiwanja cha Ndege.Haya ya kufikirika yanatoka wapi,I said No and i will stand on my Point.Cha msingi ni kuangalia jinsi ya kubadili Mfumo wa serikali zetu,hili ndilo tatizo per say.Tatizo siyo wanasiasa,Ni hawa watendaji ambao wanapenda kujilimbikizia Mali na mambo ya kazi zao za Ku Copy na Kupaste,Tutawaumbua wakti wa Bajeti ya Mwaka huu kama hawatajiandaa vizuri kukabiliana na Watanzania Majasiri kama sisi.,
 
Forum statistics

Threads 1,237,000
Members 475,398
Posts 29,275,450