Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nimesikitishwa sana na kitendo cha huyu msanii chipukizi anayefanya vizuri kwa sasa komredi Ali Kiba kutojua maana ya jina FALLEN ANGEL na linavyotumika. Hakuna namba yoyote unaweza kumwita binti...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Ferdinand Shayo, Manyara. Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi yenye makao makuu yake Mjini Babati Mkoani Manyara ya Mati Super Brands Limited imesaini mkataba wa makubaliano ya kufanya kazi...
1 Reactions
3 Replies
793 Views
Habari za leo wakuu, Yes, kwa wale wadau na wapenzi wa burudani nimeleta jambo hili mbele yenu muweze kunishika mkono au kunionesha njia, nashukuru Mungu nimezaliwa na vipaji mbalimbali lakini...
2 Reactions
6 Replies
467 Views
Husika na kichwa cha barua hapo juu.. Sorry ni kichwa cha habari hapo juu... Natafuta movies hiyo pendwa inayoitwa grey's anatomy kuanzi series ya 3 mpaka 20 kwa ambaye atanifanyia mpango...
2 Reactions
14 Replies
821 Views
Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi. Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini. Wimbo Bwana ndie mchungaji wangu mimi Sitapungukiwa na kitu katika maisha...
2 Reactions
7 Replies
422 Views
Hii kama umeshasikiliza hii nyimbo vizuri, ni kama jamaa kaiba kwenye nyimbo zetu za zamani sana. Sasa kila nikijaribu kuzivutia kumbukumbu hapa nashindwa kukumbuka zilikuwa ni nyimbo za nani na...
1 Reactions
5 Replies
498 Views
Najua Jamiiforums hakishindikani kitu. Kuna wimbo mmoja alikuwa anaupenda sana kuusikiliza mpangaji wetu marehemu mmoja hivi mlevi mlevi. Ni wimbo wa Kikongo jamaa analalamika sana nakusema neno...
4 Reactions
13 Replies
732 Views
Kuna mtu yoyote anaweza kujua Mondi logic yake ni ipi kusema zombi siku hizi hizi beat hazipigwagi.. Ni beat gani Hizo maana kama ni amapiano ndo Kwa sasa kipenzi cha ma teenage na Wao wanafanya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kusikiliza vipindi mbalimbali vya radio bongo. Watakubaliana nami kuwa beats za hizi ngoma za hip hop mbili - Tatu bila ya Tmk wanaume halisi na - Still ya dr dre...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa watazama series kama mimi kwenye series nyingi ulizotazama kuna Character ambae ni bora zaidi na alikufurahisha zaidi Binafsi Styles Stilinky wa kwenye TeenWolf hana mpinzani Niambie wako...
5 Reactions
100 Replies
9K Views
Binadamu by AY featuring Maurice Kirya This is A.Y from Tanzania, Maurice Kirya and Hamdee from Uganda. It’s a dedication to all African who living in poverty. Verse 1 Usiombee mambo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mchizi makuu anayo, Ana mziki mtamu sana mshkaji. Mm nasemaga Chris brown, Jason derulo na fally ipupa wataingia peonies asee.. Leo naongeza Battan naye atakuwepo. Hiyo hapo 🤭
7 Reactions
39 Replies
1K Views
SEHEMU YA KWANZA: Nyarugusu- Kigoma, Tanzania Hofu ilikua imetanda miongoni mwetu, kina mama walikumbatia watoto wao, zaidi ya vilio vya watoto hakuna sauti nyingine iliyosikika, hata ndege pia...
10 Reactions
84 Replies
14K Views
Sehemu ya 1 JINA lake kamili aliiitwa Meddie Manyara. Hii ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga katika majengo ya Shule ya Sekondari ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meddie alikuwa amehamia...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
SURA YA 1 KWA mara nne mfululizo katika wiki ile, Luteni Maige alijiwa na ndoto ile ile usingizini. Aliamka kwa mshtuko, jasho likimtoka huku akihema kwa kasi. Safari hii, hata alipofumbua macho...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
1.DO YOU REMEMBER-PHIL COLLINS 2.SOME BROKEN HEART-DON WILLIAMS 3.PLEASE FORGIVE ME-BRYAN ADAMS 4.FOREVER IN LOVE-KENNY ROGERS 5.ABBA-CHIQUITITA 6.SACRIFICE-ELTON JOHN 7.JUDY BOUCHER-CANT BE WITH...
2 Reactions
93 Replies
20K Views
Wakuu, amani ipitayo fahamu zote iwe nanyi. Ni muda kitambo umepita pasipo kupeleka mada jukwaani kwa sababu sikupata muda wa kutosha kuandaa makala ndefu yenye hoja fikirishi. Leo naleta kwenu...
12 Reactions
33 Replies
5K Views
Kama kuna member anaweza nisaidia kupata nyimbo za soca rhumba calypso zilizovuma enzi za miaka ya 1980 naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
327 Views
By Joh Makini ft Ben Pol I love what I am doing. A city in da houz Yeah… Aaah! Some other people miss the old me Some other people love the new me I thank God all these people They don’t know me...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…