Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Aliyekuwa mmiliki wa Band ya chuchu sound na Mkurugenzi wa chuchu radio Yusuph Chuchu amefariki dunia jana jijini Nairobi, mazishi yana fanyika leo visiwani Zanzibar. R.I.P Babu chuchu!! Yusuph...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
EA tv wameanza kusaka comedian(s) wapya watakao chukua gepu lililoachwa na akina Joti na kundi lake ambao waliwakimbia EA tv na kujiunga na TBC kwa sababu dhahiri kabisa ya mkwanja mnono zaidi...
0 Reactions
45 Replies
16K Views
Je inabidi tucheke tu au kuna ujumbe wa kuzingatia, kutafakari au wa kujadili Angalia hapa wavuti - Video. (Orijino komedi na mtu mzito) Shukrani ziwafikie wavuti - Home
0 Reactions
6 Replies
4K Views
YouTube - mdauwalibeneke's Channel
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Just for those interested, you can watch freemovies online through the link: Watch Free Movies Online - Free Movies Action, Documentary, Cartoon, Animation, thriller, Horror, Comedy, Sci-fi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Italetwa tena kwa vizuri zaidi,sorry
0 Reactions
5 Replies
2K Views
DJ Muba ni DJ maarufu anayetikisa mkoa wa Iringa na Tanzania ila ni DJ mpole aliyetaka kuzichapa na msanii chipukizi Diamond Mshindi wa tuzo za Kilimanjaro 2010 Diamond (jukwani...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ni miongoni mwa waTanzania wengi tunaopenda kuangalia filamu zetu za hapa Bongo lakini wengi wetu tunakatishwa tamaa na maudhui ndani ya filamu hizo. Nyingi zimejaa mambo ya anasa, majumba na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa Jack Bauer...mkali wa ngumi za hatari ndani tamthilia maarufu duniani ya 24...leo usiku mtapewa masaa 2 kushuhudia mwisho wa tamthilia hiyo iliyochezwa kwa miaka 9 ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Brittany Murphy's husband found dead By Alan Duke, CNN Los Angeles, California (CNN) -- The widower of actress Brittany Murphy was found dead at his California home just five months...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JF members!! Greetings!! I am posting this info below in response to rumors that surfaced in some media, including among some members in JF, that legendary Tabu Ley Rochereau was critically...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
...nyimbo zenyewe uzushi mtupu!!..check hiyo."..napenda manundu sipendi vijipu..." Msanii wa Mziki DuduBaya Ameitumia BABKUBWA.COM Ujumbe Kwa njia Ya simu ukisema TOKA MWAKA 2000 MPAKA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Jamani hivi ni lazima kila kitu kionyeshwe TBC? Sio siri mi TBC wanankera sana coz wanataka kila kitu/tukio walionyeshe ila hawawezi, mifano mizuri mataifa huru 2010 TBC walionyesha lakini ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mamiss wabaya hawana mvuto kabisa yaani natamani nirudishiwe kiingilio changu..
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Duu wapenzi wa miziki, Nilikuwa sifahamu kuwa kumbe Colombia mziki wa Congo na nchi nyingine unapendwa sana na kisa hasa ni kuwa hawa jamaa na wao wana Soukous yao wanaiita Champeta. Mengi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau jana ilikua ni siku ya kukabidhi tuzo za muziki za kilimanjaro. naomba mtu mwenye matokeo yalikuaje ayaweke humu tuyajadili
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Back
Top Bottom