Maisha Plus: Mbona hawasikiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha Plus: Mbona hawasikiki?

Discussion in 'Entertainment' started by Masaningala, Feb 25, 2011.

 1. Masaningala

  Masaningala JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Waheshimiwa, kwa yeyote mwenye habari, ninaomba kujua wale jamaa walioanzisha Maisha Plus mbona hawasikiki tena kuendeleza walichokianzisha kwa faida ya vijana wetu kuexperience maisha ya vijijini? Je program hiyo bado inaendelea? Je, Kwa wale walioshinda katika vipindi viwili vya maisha plus, michango yao kwa vijana wenzao wa kitanzania ikoje?
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Inawezekana Maisha plus ilikuwa na lengo la kisiasa ndo maana
   
Loading...