ok! namie nimeruhi kwa feedback yako, wengi wkishapata wanakaa kimwaaa, inakuwa ngumu kuelewa kama ametatua tatizo au la!.Ndugu yangu BINMGEN nashukuru sana kwa msaada wako, nimeipata hiyo movies aisee ama kweli JAMII FORUM ndio suluhisho la kila kitu!