Sugu a.k.a Mr II aombe msamaha wasanii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu a.k.a Mr II aombe msamaha wasanii

Discussion in 'Entertainment' started by pascaldaudi, Mar 2, 2011.

 1. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana JF, mnafahamu maneno aliyoyasema Mhesimiwa "sugu" kule musoma, sasa kauli yake hiyo binafsi sikuipenda kwani muziki ni ajira ambayo haifungamani na siasa, imewasiadia vijana wengi kupata ajira na kuwafanya waone "kumbe inawezekana".
   
 2. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Pia mziki hutumika kama ukombozi, na pia mziki hutumika kwenye mauaji ya kimbari.
   
 3. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pia wasanii feki hutumika kuhadaa wananchi
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  wasanii wa ccm takataka gani. Sugu aombe msamaha kwa hizo kichefuchefu?
  crazy . Tz hamna msanii period. Sugu bravoooo
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Pata flavor ya mheshimiwa

  YouTube - antivirus song-song of MR. Two a.k.a sugu.wmv
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Franco aliimba wimbo kumsifu Mabutu Seseseko.

  Aliishia kupigwa Risasi mguuni akiwa Majuu na Mabutu ikabidi atume ndege kubwa kwenda kumchukua mtu mmoja.

  Watu waliona jitu kubwa kama hili kumsifu Mabutu ni soo. Wakamla Risasi ya Mguu iliashike adabu yake.

  Kutoka hapo akaachana na SIASA.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Hana kitu upupu mtupu huyu nae ni kati ya MIZINZI inayotaka sifa... Ni mjinga fulani kashapewa kubwa mbeya anaingia CHAKA siku hizi ktk kampeni alitoa ahadi kuwa baada ya siku 100 akipewa kura kuongoza jimbo la mbeya mjini atahakikisha anampokonya RC Gari na kuuliuza ili pesa itumike kwa kazi na masuala muhimu eti VX Ni anasa ajabu alipopita tu mkopo wa Mil.200 wa wabunge kakimbilia kununu BMW New series thamani ya Mil.80 anatanulia na Sugar mamy shyrose bhanj Mbona asijitole hata kujenga kijikituo cha afya au kununua madawati kwa wananchi wake waliomchagua anafanya mambo ya anasa ili hali alisema VY ya RC Mwakisepile ni anasa? NYAMBAF
   
 8. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa SUGU aombe msamaha kwa kosa gani? Yaani kuwaambia wasanii wenzake waliwatosa wananchi kwa kuwaambia wamchague KIKWETE ambaye anawaletea wananchi hao matatizo ya kiuchumi nalo ni kosa? SUGU kachakachuliwa PROJECT yake ya MALARIA NO MORE (MALARIA HAIKUBALIKI) JK anajua hilo na hajamtetea hilo limemgusa SUGU moja kwa moja hivyo anajua matatizo ya JK na wapambe wake kuliko wewe SUGU kama msanii anakumbuka 2005 JK alivyopata support toka kwa wasanii wakati wa kampeni na kuwahaidi STUDIO ya kisasa, SHERIA BORA YA HATI MILIKI,hayo mambo hadi leo ni HADITHI sanasana fedha ya walipa kodi JK kaitoa na imetengenezwa STUDIO uchwara na inamilikiwa na RUGE MUTAHABA chini ya muavuli wa (THT) TANZANIA HOUSE OF TALENTS je hayo unayajua? SUGU anayajua na wasanii wanayajua lakini bado wakamuabudu JK katika kampeni.

  Je SUGU kusema wasanii ndio waliokuwa kivutio kampeni za kikwete ni UONGO hadi aombe RADHI? Hivi sugu kusema wasanii wamewahamasisha sana wananchi wamchague JK wakati wasanii hao wanajua fika alicho waahidi 2995 hajavitekeleza lakini wao wakawa wanawaamasisha wananchi wamchague ni UONGO hadi aombe MSAMAHA?

  Hivi ni kusema uongo kuwa wasanii wanatajiri shwa na waTZ maskini hivyo wasanii iliwapasa wasiwadanganye kuwa wamchague JK?
  SUGU anacha kuomba msamaha yupo sawa kabisa, wananchi watapima, wasanii watapima 2015 JK atapokuwa anaondoka madarakani(MUNGU AKIPENDA NA AKIMUEPUSHA NA YALIYOTOKEA/YANAYOTOKEA YA MISRI,TUNISIA na LIBYA) NA UKWELI UTAKUWA BAYANA.
  WASANII WAWAOMBE RADHI WANANCHI AU SUGU AWAOMBE RADHI WASANII AU WEWE UMUOMBE RADHI SUGU (TIME WILL TELL)
   
 9. m

  maselef JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo watanzania hatupendi kuambiwa ukweli
   
 10. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  namuunga mkono sugu kwa asilimia 100 aombe msamaha kwa lipi man??sugu yupo sahihi hivi ninyi wasanii wa bongo mna mafanikio gani mpaka sasa zaidi ya kujisifia wenyewe tu mnachotakiwa muwe wanamapinduzi mie sioni sababu ya ninyi kushabikia chama tawala sababu hakuna progress yeyote kimuziki hapa tanzania mliahidiwa studio ipo wapi mpaka sasa yaani mnadanganywa kwa vijisenti vya kampeni na zikishapita tu mnasahaulika mie naona sugu yupo sahihi kabisa hongera sana mr tu sugu,gegeduuuuuuuuuuuuuu
   
 11. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Ulitaka anunue bajaji ya kuendea bungeni huna hoja.
   
 12. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Basi wadau, nimeshusha mikono kweli Mh. Mr. II a.k.a Sugu hana cha kuomba msamaha, ila kwa ufupi nilivyoona maoni yenu, siasa na wasanii ni kama upepo, ukikuvumia vizuri basi unakuwa mshindi, ukivuma vibaya basi wewe umeshindwa, Sugu yupo juu!!!! Na wasanii wanatakiwa wajifunze kuwa na moral conscience itakayowafanya waweze kuwa na utambuzi wa alama za nyakati, kwani sasa watanzania tumechoka, tunahitaji ukombozi, na inavyoonekana siasa ndiyo njia pekee ya ukombozi, na kupitia uimbaji kama wa wasanii wanaweza kutoa mchango mkubwa katika huu ukombozi!!!!
   
 13. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  yaah jamaa yupo sahihi angalia CCM ina miaka mingapi madarakani na hao wasanii unaowaongelea wana maendeleo gani mpaka sasa kila uchaguzi wanaahidiwa tu na kupewa vijisenti kwaajili ya kukipigia kampeni chama tawala hapo mr tu alivyoongea sio kwamba anawaponda hapana lengo ni kuikumbusha serikali iwakumbuke wasanii sababu mchango wao unaonekana man!
   
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Huyo Sugu simply hana adabu...
   
 15. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kivipi fafanua
   
 16. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Una point man!!!!!!!! hilo ni fundisho kwa wasanii, wajifunze na kujiona wana mchango mkubwa katika kufanikisha siasa, na siyo kupeana tu mikono na rais, then wanaendelea kutabika!!!
   
 17. t

  tambarare Senior Member

  #17
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie nafikiri hili sugu ana haki kulizungumzia kwani wasanii wengi walituhadaaa kwani wanaujua vizuri utawala wa ccm hivyo kama wazalendo walipashwa kuwa makini na nani wanampigia kampeni kwani wengi wao walikuwa hawalipwi na walikuwa wanasubiri fadhira za muheshimiwa na wanazisubiri sasa
   
 18. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hawa jamaa wenngi wanaangalia fedha badala ya kuangalia future zao
   
 19. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  na hao wabunge mliokuwa nao tangu kupata uhuru wamewafanyia nini??
  kama kapewa pesa kwani mwneye tatizo ni yeye au sheria za nchi??
  kapokea pesa peke yake au wabunge wote wamepewa??
  mambo ya mahusiano yanakuhusu nini??
  je ulitaka wewe akuchukue na kutanua na wewe?/
  kama unamtaka kuwa muwazi tu umwambie labda anaweza akakufikiria
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nyambaf wewe na wa kwenu wote... naona neno umejifunza jana basi kila post ndio kiitikio
   
Loading...