According to Khloe's website, the couple stopped by Tattoo Mania in Los Angeles Saturday night on a whim and got tattoos of each other's initials on their hands.
Now if only this weren't the...
Wakumbwa,
Sasa hivi nipo online na 89.5, Jamaa wananikumbusha mbali sana enzi za Dar Jazz - tumemaliza ngoma inayoibwa " Bwana mashaka....... acha kulalamika....kama amekushinda mrudishe...
Kwaheri ya kuonana Dwayne Nathaniel...
Ntakukumbuka daima ktk nyimbo ulizoshiriki kama Regulate, next episode, area code, multply, Lay Low, na nyingine nyiiingi.
hakika Dunia imempoteza mfalme...
Check out the top 20 songs played on Tanzania's national TV and radio stations brought to you by Push Observer - Tanzania's first real-time media monitoring platform:
Push Observer | Charts
Darwin's Nightmare,inawezekana ushawahi kuiangalia au hujawahi but kama hujawahi kuiangalia nakushauri uiangalie, this is real life about mwanza ,but sijui kuwa mpaka sasa hivi hili life bado...
kuna huu wimbo wa kibongo mimi nimeupenda kwa kweli umetulia kwenue mashairi kaka tukipata wawili watatu kaka yeye tunatafika mbali sikiza hapo kwenye link
www.lifeofmshaba.com: ready to die by...
Wakuu nawezaje kusikiliza Radio Clouds FM ya bongo online
Nasikia hii kitu inapatikana kwenye mtandao nimejaribu kusearch
lakini nimechemsha. Nipatieni link waheshimiwa
Wana JF, mnafahamu maneno aliyoyasema Mhesimiwa "sugu" kule musoma, sasa kauli yake hiyo binafsi sikuipenda kwani muziki ni ajira ambayo haifungamani na siasa, imewasiadia vijana wengi kupata...
Hivi vikundi viwili kukutana uwanja wa taifa na kucheza mpira ni ishara kuwa katika utawala huu wa JK maisha bado si mabaya sana kama wanasiasa watoto wanavyodai.
Bongo fujo na Bongo bishoo...
Timu ya Soka ya waigiza Filamu hapa nchi jana ktk uwanja wa Taifa imepokea kipigo cha goli 2-0 toka kwa timu ya wasanii wa Muziki wa kizazi kipya.
Wakicheza bila nahodha wao Amri Athuman ama...
Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kusikia kitu kikisifiwa na kulandana na sifa hizo, si kingine bali ni hii tamthiliya changa. Nimeisikia ikitangazwa kwenye clouds media na kupewa sifa. Nilidhani ni...