Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Katika dhana ya kugawana mashabiki kwenye matamasha kati ya sugu na ruge,clouds fm kupitia straight music watafanya Tamasha siku hiyo hiyo ambayo Mh. Sugu(Joseph Mbilinyi,Mb wa Mbeya mjini) naye...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Jamani tumuoneni huyu dada anavyonengua katika video hii utadhani hana mfupa hata mmoja mwilini! (gptz.com)AISHA MADINDA AT BILICANAS - YouTube
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Joe Frazier dies aged 67 Joe Frazier, the relentless slugger who became the heavyweight champion of the world and earned boxing immortality with three epic battles against Muhammad Ali, has...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mr. Walker - by Mighty Sparrow She ugly yes, but she wearing them exspensive dress The People say she ugly, but she father full a money Oh Lord Mamma, woy woy Good morning Mister Walker I...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Beauty queen who dreamed of becoming a nun is crowned Miss World - as angry protesters picket pageant Winner Miss Venezuela was orphaned at eight and spent five years in a home run by nuns...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naitaji kufahamu mda wa mashindano ya miss world yanaanza saa ngapi kwa saa za bongo na naweza kutazama online kupitia web site gani?
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimeupenda sana huu wimbo wa Kidumu na JD...bonge ya collabo... kidum & Lady Jay Dee - Nitafanya - YouTube enjoy
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Filamu ya Adumba Bado yaongoza kwa kuoneshwa TBC1 why wanaipenda sana au hawana Filamu zingine? Mfalme Galagalauka Msisi wa Msisili Odama
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Jamani nimenogewa kuna wasichana Mungu anisamehe nimejiuliza nchi yao hawakuwaona vizri maana BTW our TZ girl looks good
1 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau muda kama huu napenda kukaa home nakusikiliza zuku za kikongo sasa hapa kuna ushindani nani mkali kati ya fally ipupa na ferry golla nasubiri majibu yenu enjoy weekand poa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naamini wanaJF wengi mshasikiliza nyimbo ya NWO BABY REMIX wa2 wengi wametia mpaka kwenye cmu.Kinachonishangaza mshikaji kasampo nyimbo za SAIDA KAROLI ''Maria Salome'' na wabongo wanaiona kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
eid ndo hii tushaianza.karibuni washikaji...maisha yenyewe ndo haya haya na raha jipe mwenyewe.maisha matamu lakini mafupi.tupo hapa ttc chang'ombe kama vipi njoo tusherehekee eid.yaani hii ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibuni kwenye haya majambo ya week end Xtreme Vybz Thursdays @ Club Nakisakis - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
... maake hadi ngoma 7 hii mi sijaona kiwanja hata kimoja chenye mzuka yani tangu ijumaa ianze, mpaka ishaingia j'mosi tayari ...!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Teheheheh Hii ni Kali kuliko hata ya Godzilla http://youtu.be/V5bgOuq9Yvo Angalia mwenyewe!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, hawa vijana ni hazina ya Taifa, hizi mshawahi kuwasilikiliza na michano yao ya hatari? Mimi binafsi nawafananisha na MaMc walipita kama Kwanza Unit (Kwanzania), Imam Abas, Traveller mtoto...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
am selling my play-station its chipped meaning you can use it to play any game. if interested send me a buzz.
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Wakuu jana na leo nimejikuta nikisikiliza kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, kwa kweli kuna tofauti kubwa sanaaa nilivyosilkiliza sikuhizi mbili na vipindi vya nyuma alivyokuwepo Kibonde...kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mtu ambae ni insider wa industry ya muziki na filam Tanzania ameniambia kitu ambacho i hope sio kweli..... i hope ni majungu tu ya kila siku...... amenitajia majina kama ya wasanii sita hivi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dah huyu dogo ni noma sana ebu muone hapa!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…