K Kubingwa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 505 Reaction score 69 Dec 10, 2011 #1 ni movie ya kitambo wadau.Je wewe ulikuwa wapi hasa ilipotolewa mwaka 1989.
the grate JF-Expert Member Joined Sep 24, 2011 Posts 204 Reaction score 36 Dec 10, 2011 #2 nakumbuka nilikuwa shule ya msingi ndo nilifanikiwa kuiona bt huo mwaka ilipotolewa ndo mwaka wangu wa kuzaliwa
nakumbuka nilikuwa shule ya msingi ndo nilifanikiwa kuiona bt huo mwaka ilipotolewa ndo mwaka wangu wa kuzaliwa