Ujumbe wa antivirus katika wimbo mpya wa tmk 'kichwa kinauma...' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wa antivirus katika wimbo mpya wa tmk 'kichwa kinauma...'

Discussion in 'Entertainment' started by Rayz of Diamond, Dec 13, 2011.

 1. Rayz of Diamond

  Rayz of Diamond Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale ambao mmeshasikiliza Wimbo mpya wa TMK unaoitwa KICHWA KINAUMA msikilizeni virusi Chegge Mashairi yake yanaendana na kilio cha VINEGA....ingawa sidhani kama Chegge yupo kwenye movement ya VINEGA lakini mistari yake inasema hivi:

  "...Kichwa kinauma, kila nikijituma badala ya kwenda mbele ninarudi nyuma...japo tunarusha na Ngoma zinavuma lakini kimapato bado tupo nyuma....aaeeee Kichwa kinauma..."
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kweli kichwa kinauma...naona majamaa yaliyojitoa yamerudi yenyewe huku wengine sijui walikuwa wanywa gongo
   
 3. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tafuta na hizi nyimbo:
  1.Joh Makini - Brand ka Blue Magic,
  2.Bwn Misosi Pirato na Game 3.Mike Tee Sababu Ya Njaa...Na zenyewe jamaa wanalalamikia sana kuhusu kunyonywa..
   
Loading...