Bongo movies

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,970
1,396
Huwa nangalia movies za wenzetu wa nigeria,ghana..n.k huwa wanajua kuact hadi unafikia mda mwingine unaanza kutokwa machozi jinsi wanavyocheza kwa ufasaha na kuvuaa nafasi halisi ya mtu husika.unafulahi kukaa na kuangalia movies njoo kwetu za akina kanumba,ray n.k ukweli ni uchafu mtu wanachukulia mambo juu juu..wabongo wenzangu kuweni serious na kazi mnazojifanya ili kufikia hatua za wenzetu..ni hilo tu..i will be back.
 
Yaani wabongo wapo kifedha zaidi kuliko kufikisha ujumbe na nakutoa vitu vyenye uhalisia......Kila mtu ni director,kila mtu ni script writer...uwehu mtupu!
 
Viewer's discretion is advised, sio kila siku mnakuwa kama mnaimba mapambio. Washaurini, khaaaa!! tumechoka sasa kila siku kucritisize tuuuuu...,
 
Wameshauriwa mara kadhaa tangu wameanza kutoa hizo movie..waandishi wa baadhii ya magazeti wameshatoa articles kibao kuhusiana na suala zima la production ya movie na pia hata vipindi vya TV akina Zamaradi nketema clouds TV wanajitahidi kukosoa baadhi ya maeneo...ila basi tu,wanakuwa wagumu kuelewa....sio tunaponda tu! ndio ukweli.
 
Sasa tusemeje! ni Utoto? Basi wakikuwa wataacha. (Watakuwa wameshajifunza then...........)
 
Yaani filamu za kibongo ni uozo mtupu.
Ila kuna baadhi ya wasanii wanapo igiza hapa bongo naona kama wanajishusha hadhi kulingana na uwezo wao wa juu.
Jb is my Best ila anaitaji timu makini zaidi ambayo nadhani bongo hamna so wanampotezea kipaji.......
Ila ndio hivyo anaganga njaa na yeye sasa afanyeje!!!!!!
 
Naona sasa hivi kuna jamaa fulani wameanza kutoa production za hali ya juu sana, tazameni hii movie mpya ya akina Sauda Simba imenitoka kidogo jina lake....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom