Mzee Yusuf aibiwa viatu kwenye kituo cha radio.

Julieth Ms

Senior Member
Nov 29, 2011
102
37
DSCF3352.JPG


Akitumbuiza mjini Iringa ukumbi wa Highland

DSCF3338.JPG


Hapa akiwa amekosa raha kabisa baada ya wahuni wa Iringa kumuibia viatu na kumwachia sox.

DSCF3343.JPG


Hivi viatu alivyo azimwa kwa muda ajisitiri.

Muimba taarabu mashuhuri nchini Tanzania na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuph aibiwa viatu vyake wakati akiwa katika mahojiano na kituo kimoja cha Radio mkoani Iringa kabla ya kuingia ukumbini kutoa burudani kwa wakazi wa Manispaa ya Iringa.

Source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom