Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kuna wimbo mmoja by dr.jose chameleone wenye maneno "wanashukuru ukishaenda",mwenye kujua jina halisi la huu wimbo naomba msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana Jf naomba mnisaidie namna ya kudownload movie kwani nakosa uhondo kwa kusubiri ziletwe kwenye maduka yetu na wengine hushindwa kabisa kuleta ukizingatia wengine tuko mkiani mwa tanzania...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa Animation movies,hii kitu ni superb!! inaanza kuonyeshwa rasmi katika theatres hapa town leo,kama haukuwahi kufikiria kupenda aina hii ya movie,nenda kaicheki na hautaujutia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Imekuwa na kawaida ya mastaa wa bongo hasa wa Kitengo chakucheza sinema na wanaopiga muziki (Bongo Flava) kutambiana wao kwa wao kwa pesa. Na kweli tunaona hata matumizi yao au magari, nyumba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman ninakipaj cha kuimba toka utoto pia nimesomea kaz hiyo,sasa nimetoa single ya gospel mahadhi ya sebene lakin radion wanataka pesa ndipo wanitoe,sina mdhamin wala manager but naamin naweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye wimbo wa 20% uitwao NIA YAO! Nawaombeni mwenye kuweza kuni postia hapa jamvini iwe kwa mp3 au video.Thanks.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana jamvi leo nawaletea ushirikiano maalum wa manguli wa muziki enzi hizo ZAIRE ya MOBUTU SESE SEKO NKUKU NGBENDU WA ZA BANGA uitwao NGUNGI(mbu) amboa kiufupi wimbo huu ni kisa cha kweli ambacho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unakumbuka kumbi za burudani enzi hizo... 1.lang'ata 2.mboe 3.vision 4.ymca 5.vijana kinondoni endeleaa tupia hapa........
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Muziki wa Hip hop hauwezi kuwa mtamu pasipo kuwa na chorus nzuri. Mwenye wimbo anaweza kuamua kuimba mwenyewe chorus ama kutafuta msaniii mwingine atakayemuimbia chorus ya kuvutia. Mchango wa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hatimaye mmoja wa wachezaji wa soka wanaolipwa pesa nyingi zaidi kutoka Afrika, Kolo Toure wa Manchester City ameisaliti rasmi kambi ya makapela. Defender huyo raia wa Ivory Coast amemuona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
50 Cent was involved in a car accident along the Long Island Expressway in New York City. His SUV was rear-ended by a Mack truck that lost control early Monday morning. Both 50 and the driver of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimebahatika kutana na songi lao wanaliita Piga simu liko hot n mbaya Diva ft Diamond - Piga Simu | Muziki.net
0 Reactions
13 Replies
3K Views
kuna movie flan inahusu train(treni) ambayo inatembea mwendo mkali bila dereva so wanahangaika kuisimamisha, niliiona kitambo jina nimesahau anaejua anitajie jina la hyo movie......!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu dogo nani anamvishaga pamba jamani? anakera
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazee wadai kamtumia sms na email kumwambia yanga ni maskini na wanashindwa kuwalipa wachezaji na makocha wao. Kawekwa kitimito ajijetea hausiki katika hilo
0 Reactions
7 Replies
5K Views
1 Reactions
8 Replies
2K Views
jamaa kamshirikisha Ben Paul katika Nipokee, nipe maoni ukiusikiliza Chidi Benz ft Ben Paul - Nipokee | Muziki.net
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Unakumbuka ma -dj wakali enzi hizo.... 1.dj jerry koto 2.dj young millionea 3.dj chriss fabi (the lover) 4.dj deo zullu 5.dj kali kali 6.dj mangapiii 7.dj ali koko endelea tupia hapa ma-dj wa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom