imependeza kweli, baada ya Palau kuhitimisha ndipo Moen alipanda jukwaani akaimba "i will sing, my creator king, God is good na God will make a way" kisha akaja mwanadada Mullen Nicole na "call on Jesus, My redeemer lives, freedom na i shall not want" kweli ilikuwa ni sherehe na tumeburudika ktk Bwana. Ila nasikitika kutokuwa na kamera ya kuchukua picha.