suggest another comedian series like how i met your mother...

suggest another comedian series like how i met your mother...

fidelis zul zorander

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
687
Reaction score
179
wadau hiyo series imenibamba ile mbaya kwanzia season 1 mpaka 7..hivi kuna series nyingine yenye vituko kama hii...kama zipo zishusheni wadau nianze kuzitafuta.. hapo kwenye himym barney stinson ni full vituko i cant get tired of this guy
 
wadau hiyo series imenibamba ile mbaya kwanzia season 1 mpaka 7..hivi kuna series nyingine yenye vituko kama hii...kama zipo zishusheni wadau nianze kuzitafuta.. Hapo kwenye himym barney stinson ni full vituko i cant get tired of this guy

tusaidie hii wengina hata hatujaiona mkuu!
 
The Worst Week

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
also 'the game' bonge moja la comedy series i am sure utaipenda
 
Kiongozi tafuta nyingine inaitwa Mad Love, naamini itakukosha zaidi na yenyewe inavituko si kidogo, two and a half men ushaicheki?
 
aisee nataman km vl kila mtu anayependa kuangalia comed series angeichek hii comed kwa jins inavyochekesha yaan huwa sichokag kuiangalia bing bang theory

ha ha ha ha haaaaa,mambo ya peny peny peny
 
Big Bang Theory na worst week also evrybody hates Chris. Unaonaje ukiniazima hiyo how i met ur mother?
 
Back
Top Bottom