Show ya mwaka na ya aina yake toka bss

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
578
144
HII KWELI NI SHOW MPYA TOKA BSS AMBAPO MWIMBAJI ALIINGIA NA VINYONGA JUKWAANI.

PATA LINK HAPO
 
Last edited by a moderator:
YEAH kama unataka kucheka kwa kweli just angalia hyo show

mie aliniacha hoi mmasai aliyemzimikia madam Rita
 
yeah ni kweli......
kinachoniudh zaid ni kuwa hawa washind wao huwa wanapotea mazima baada ya kupokea mkwanja, mfano cjawah kumsikia Misoij kuanzia ashinde, hata huyo mdada wa last year nae kapotea...........
we huoni yeye ndo star?
ni show yake hiyo
kina Jumanne Iddi wanatumika tu
 
Rita ni mtaalam wa muziki, kafanya makubwa sana Kenya ameacha legacy. Aliletwa nchini na mzito mmoja na akamfungulia Benchmark production. Mamaa akamtosa mzee bila huruma. Mzee sasa kahamia kwa miss wa zamani mwanamuziki ( sijui kwanii sikukufahamu mapema, maisha yangu bila wewe ni kama gari bila konda, namimi namimi sijafika kikomo, tulia utakula vya kwangu.

Chezea opportunist wewe
 
Back
Top Bottom