Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wadau naomba msaada wa jina la wimbo ambao ferooz ameshirikishwa wa zamani kidogo wa bongofleva ambao una vipande hivi "ningeweza ningeomba wazazi wangu warudishwe duniani...."...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kuna scandal kwamba huu wimbo wa Ameen - Mwana FA ft Dully Sykes & AY | Muziki.net umekua sampled kutoka moja ya nyimbo za mwanadada mJamaica, sasa ingawa watu kibao hufanya hivyo ulaya na inakua...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani huwa najisikia kinyefunyefu kila nikiusikia wimbo mpya wa mwanamuziki BEST NASSO, Narudi Kijijini. Kwa ufupi katika wimbo huo Best Nasso analalamika kuonewa na mpenzi wake wa kike na hivyo...
1 Reactions
4 Replies
15K Views
BAADA YA MADEE KUTOA SHUTUMA KWA DOGO JANJA, NAYE KAFUNGUKA Siku moja baada ya Dogo Janja kudaiwa kufukuzwa Tip Top Connection, ukweli halisi kuhusiana na uamuzi huo umewekwa wazi na yeye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Wapendwa wana jf , nataka nijue nani ni mkali kati ya Chris rock na Chris tucker . Naomba maoni yenu.
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Nikikaa mi hii ndio top 3 yangu sijui wewe mdau! 1. Yondo sister Yondo Sister - Mbutumutu | Muziki.net 2.Sokous star Sokous Star - Sophia | Muziki.net 3.Pepe Kale Pepe Kalle - Gerant | Muziki.net
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Hashimu Lundenga mwakilishi wa miss tzz anategemea kutafutwa jumamosi hii wakati bado mashindano ya vitongoji yanaendelea...anasema tayari amepata warembo kumi (10) ambao walishawahi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipindi Nyiboma anatamba kwa redio zote Tanzania na Maya maya maya maya mo Nyiboma - Maya | Muziki.net
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati hashim Dogo anavuma na hii ngoma (shadow of the dark destiny) ulikuwa wapi Mdau mwenzangu?.Wagumu,Mabitoz na Masistaduu wa kipindi kile Bongo Flavour inaitwa mziki wa Ku-Rap......
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu brothers and sisters, Naomba msaada wa jina na link ambayo naweza nikapata wimbo huu wa kiafrica, unaotumiwa sana na dstv katika matangazo yao hasa ya proud to be africans...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The world's oldest female bodybuilder wakes up every day at 02:30 to fit in a 10 mile (16km) run before hitting the gym. But 75-year-old Ernestine Shepherd insists that "age is nothing...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeupenda sana wimbo huu uliotumika kwenye tangazo hili la Coca-Cola na nikathubutu kuutumia kama ringtone ya simu yangu, kwenye kuGoogle kwangu kuhusiana na hili tangazo, kuna watu wanalalamika...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Roho inaniuma nikivifikiria vifo mfurulizo vya wanamisic nguli waimbaji wa MSONDO MUSIC BAND. hasa TX MOSHI WILLIAM, toka msiba wa mwanamusiki huyu siisikii tena band...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hi JF Members, mi napenda sana animation movies, naomba tuziweke hapa kama ikitokea mtu ajaicheki afanye mapango atafute... mm top five yangu nikama ifuatavyo.. 1. Rango 2.Ice. age 1,2,3,4 3...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Full Reggae & Dancehall Riddimz. To visit click the link below.... HighGrade Sounds. You are welcome.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu,naomba msaada wa magemu ya computer kama fifa,racing,mission,action n.k,nina external hard disk ya 500gb,na nitakufuata popote ulipo dar es salaam,natanguliza asante
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Kwaya ya Ulyankulu barabara ya 13 Tabora ilikuwa kwaya ilivuma na kushika chati za nyimbo za injili na ninakumbuka wazazi wangu walikuwa wapenzi wakubwa na tuangalie video yao kali ingawa...
0 Reactions
6 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…