Congratulations! Kim Kardashian Pregnant With Kanye's Baby
Dec 31, 2012
By Deborah Bennett, Senior Editor
Even though she's still legally married to Kris Humphries, Kim Kardashian is...
huu wimbo wa kitambo mkolon kavunja mbavu ile mbaya mi ile ya jamaa anapenda mapapai sitaisahau wewe je ipi inakuchekesha ,
kama huujui sikiliza Wagosi wa Kaya - Sifa za kijinga | Muziki.net
Amani kwenu wadau... Jamani kuna wimbo mmoja ni maarufu sana kipindi cha Pasaka, na unaimbwa na makanisa ya RC (sina uhakika na mengine) Baadhi yetu tunauita Hallelujah Kuu. Uzuri wa wimbo huu ni...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, amewatumia
salamu za rambirambi, ndugu, jamaa na wasanii wote nchini kufuatia kifo cha msanii
Juma Kilowoko (Sajuki)...
PGA-nominated Skyfall is the second most mistake-filled movie of 2012By Bryan Enk | Movie Talk 3 hours ago
Photo: Columbia PicturesHey, no one expects a 007 mission to go completely perfectly...
PGA-nominated Skyfall is the second most mistake-filled movie of 2012By Bryan Enk | Movie Talk 3 hours ago
Photo: Columbia PicturesHey, no one expects a 007 mission to go completely perfectly...
ukiachilia mbali series kama 24hrs, lost, P/Break, OZ, Merline, n.k....Jamani kuna muvi series inaitwa FRINGE, Nayo ni utamu mtupu....tena kwa wanafunzi wanopenda masomo ya sayansi hapo ndo...
Leo nilikuwa nacheki Kora awards 2012 on UBC (Uganda) iliyofanyika Abidjan . Ddnt know it still exists, what happened kwa nini TV zetu hazitangazi tena Kora Awards? Nimeona nominees from TZ like...
Nitakuwa mchoyo wa fadhira nikikosa kuwapongeza startimes kwa kushirikiana na serikali yetu kutuingiza kwenye zamadigitali. Ombi langu kwenu ni moja tu, jamani boresheni QUALITY ya sauti. There...
Itakumbukwa kuwa katikati ya mwezi huu wa nane TBC kupitia Star Media Group ( Startime) waliongeza chanel ya Emannuel Tv.
Lakini baada ya muda wakaiondoa na kuweka chanel nyingine kitendo...
Wakuu nimesikia juju tu kuwa leo JB MPIANA atakuwa hapa leaders club nauliza amekuja na bend yake yote au ndo kaja tu kuuza sura mwenye habari kamili juu ya ujio huu atujuze hapa jamvini wakuu.
Habari wanandugu!
Nahitaji kufahamu ni ukumbi gani hapa mjini Dom huwa wanapiga sana Taarab? Maana nimehudhuria kumbi chache sijaona zikipigwa, au huku ni bongo fleva tu? Kama huwa zinapigwa bac...