Jana na leo nimebahatika kumcikiliza Mwanamuztiki wa zamani na muasisi wa chama cha muziki Tanzania Mzee Kassim Mapili akizungumzia kusahauliwa kwa wanamuziki nyota wa zamani.. Akatolea mfano...
Hivi faida ya miss tanzania ni nini?
Nimejaribu kufikiri nimeshindwa
Sioni faida ila naona kama ni ujanja janja wa watu wa mjini tu hapa wakiongozwa na lundenga
I wanna dance with you. I want to lie in your arms and sway to the music. Ooh the mood is so right and the stars so bright.
Problem is, who are you?
Kaunga, is it you?
The Boss,
Asprin,
Nyani...
Ni katika REDDS MISS TZ 2012,Taji Liundi anampisha WANNE STAR huku akimsifia kwa ngoma na nyimbo zake zenye kutangaza utamaduni wa m-tz.Mara kundi la WANNE STAR linapanda jukwaani na kuanza kupiga...
Wapi naweza pata collection ya Movie zote za James Bond, hii movie ya Skyfall imetangazwa sana mpaka imenipa hamasa ya kutafuta movie zingine za James Bond (za kuanzia miaka hiyo ya 1953 mpaka...
Mweusi Joh Makini ameungana na wasanii wengine wa Arusha waliochukizwa na kitendo cha wasanii wa Arusha kutoshirikishwa kwenye sherehe za kulizindua jiji hilo rasmi.
Joh ambaye huandika mara...
NAMWONA Taji akitangaza. Hivi huyu jamaa ni ana mkataba kutangaza haya mashindano? kwa kweli anaboa na hayachangamshi. Anaboa, yuko stiff sana, tangu miaka nenda rudi hamna jipya ratiba ni...
Ni mara nyingine tena tunafuraha ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ya fainali za Miss Tanzania, 2012.
Unaweza kufatilia matangazo yetu kwenye link ifuatayo:
Radio Free Africa Tanzania*|*...
Watch, listen and download over 3,000 African movies, music videos and music from Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya, Uganda and other African countries. The African Social Network, where you can...
Je umewahi kutazama movies hizi? The tears of the sun, Diamonds, Cry in Freetown, Blood Diamond,
Hizi, kwa mtazamo wangu zinaeneza fikra mbaya kwa dunia kuwa Waafrika hawawezi kuishi bila ya...
Music unaweza kukuweka kwenye mood wa haya majambozi yetu.This is my TOP 20
Marvin Gaye: Sexual Healing
Marvin Gaye: Let's Get It On
Barry White: Anything
Serge Gainsbourg: Je T'aime
Kings of...
Tokea nimeanza kuangalia video za Charlie Chaplin, sijzona anae mkaribia... Ebhana pamoja na kua chache zina audio, na ni zamani sana 1912 hivi.. ila hadi leo ni hot.
Wewe unaona yupi bora?
Do you know how others rate our local musician! this is just a piece of justification that there is a light at the end of the tunnel
according to the Southafrican Microsoft portal' Joseph Haule...
Kama ilivyokawaida yangu yazungukia mitandao mbalimbali siku ya Jmos,nikakutana na habari hii "Lord Eyez akamatwa kwa kuiba vifaa vya gari ya Ommy dimpoz".Pia kukiwa na tweet ya huyo bwana mdogo...
Kila ninapo sikiliza nyimbo hizi huwa nabarikiwa sana kwani zimejaa Upako wa kweli ni nyimbo zilizo tulia hazina vikorombezo vyaku mtoa mtu kwenye uwepo kama tunavyoona miziki mingine mingi ya...