Filamu: Adili na nduguze

3D.

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,018
284
Wakuu nitapata wapi kitabu cha hadithi "Adili na Nduguze"? Nafikiria kutengeneza filamu yake in 3 to 5 years from now. Nikipata kitabu cha "Kisa cha Hassan-li-Basir" nitafurahi pia. Nilivisoma zamani na ninadhani filamu zake zitakuwa nzuri kama zikiandaliwa kwa ubora.
 
Back
Top Bottom