Habari zenu!
Naulizia beach nzuri na ya gharama nafuu kigamboni kuanzia entrance mpaka vinywaji na rooms.
Nataka kesho kutoka na wifi/shem wenu. Ahsanteni.
Safi mkuu!! Dah!!! Ni watu wachache kama ni kweli huwa wanaamua kuwa na haya!! Ila sasa kutoka na wife si inabidi anangalao iwe Fidaya mnakaa pale hadi Sunday!!! Au mko likizo? Ngoja wataalam waje!!