Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mwaka 2021 nikiwa hapa home tz nilikua na pesa flani ambayo nilipanga niagize bidhaa Ali express nianze kuuza maana Nina uzoefu na kuagiza mizigo huko kutoka China through Ali express bahati mbaya...
22 Reactions
84 Replies
16K Views
SIMULIZI: KIJANA SHUJAA….. “Ilikua ndoto yangu kuja kufanya jambo kwaajili ya Taifa” SEHEMUYA KWANZA (01) Man Middo Kabla hajatimiza ndoto yake kijana shujaa alikua kapuku tu muuza dagaa katika...
0 Reactions
5 Replies
948 Views
"Sikiliza nikuambie wewe dataz mume wa mtu ni hatariiii...🎶" https://youtu.be/EPQiEXLzYY4?si=B60DDmFLAMapuPFh Siku hizi mna visabengo kwenye muziki sasa mnakaa kuhamasishwa alafu yakiwakuta ya...
0 Reactions
2 Replies
423 Views
Simulizi: JAMANI MCHUNGAJI !! Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Masikio yake hayakuamini anachokisikia lakini ubongo wake uliamini kuwa mkewe alikuwa...
5 Reactions
146 Replies
91K Views
Nahitaji nitengeneze Gaming community, nani anaingiza pesa kupitia Gaming? And how? Binafsi naingiza kwa kuuza tz mod games, zinapendwa Hatari!
1 Reactions
4 Replies
495 Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Na James Mbotela. MUHTASARI WA MAISHA YA MWANDISHI Mwandishi wa kitabu hiki, ni mzaliwa wa Frere Town, Kisauni, Mombasa. Baba yake ni Myao, akiitwa Mbotela ambaye alikuwa mmoja wa vijana wale...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni siku nyingi kidogo, mwaka 1980, lakini ni tukio ambalo liliniuma sana. Ilikuwa vigumu sana kulisahau na lilinifanya nijiulize, inakuwaje Mungu anakuwa mkatili kiasi kile. Lakini bila shaka...
27 Reactions
60 Replies
3K Views
We did have a greatest love of all, but her Jolene come and destruct everything, she said that I believe in you. i said I still lost you ,I’m afraid to be coward of the country, she said no matter...
2 Reactions
162 Replies
26K Views
Nimeisikiliza hii ngoma ya Dizasta Vina. Inaitwa Mwanajua....nimeskiliza zaidi ya mara 20 Lakini hadi leo sijaelewa hii fasihi jamaa alilenga kitu gani, Kuna anaefahamu? Huyu...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu waheshimiwa. Kuna baadhi ya nyimbo nimekuwa nikizitafuta kwa takribani miaka kumi sasa. Nimejaribu kukomenti kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya wasanii husika lakini hawaonyeshi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
"Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mshiko, Anakuomba madusko anahonga batonga anagonga vitu, Unamuita darling au wife mama mamito, Unapata habari za wanafiki kuna walafi wanamla hadi jicho...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hadithi ya Uongozi na Mamlaka Katikati ya msitu mkubwa wa kijani kibichi, ambapo miti mirefu hufichua siri na mito hukata njia kupitia ardhi, kuna ufalme wa kipekee – ufalme wa wanyama. Dunia hii...
1 Reactions
1 Replies
783 Views
FINA MANGO NDANI YA POWER BREAK FAST CLOUDS FM. Fina Mango Mtangazaji wa Redio aliye Jipatia umaarufu mkubwa katika utangazaji kwa kupitia Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm.. Enzi hizo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Riwaya ya Kijasusi: SAUTI YAKE MASIKIONI MWANGU Mwandishi: KELVIN KAGAMBO Imeletwa Kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 “..... na sasa ni zamu yako. Sali sala za mwisho tufunge mkataba.” “Lakini...
6 Reactions
49 Replies
14K Views
Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo...
1 Reactions
3 Replies
372 Views
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums!? Lengo la Uzi wangu nilikuwa nataka kusema kwamba kuna vitu huwezi kusema unavikubali ila nafsi yako itasema tu, Kuna wimbo Mmoja wa Ali kiba sijajua kama...
1 Reactions
1 Replies
583 Views
Huu ni wimbo ambao Marehemu LANGA aliifanya kipindi cha mwisho wa uhai wake Lakini haikuweza kutoka rasmi kwa mara ya kwanza niliusikia siku ya msiba wake pale kwao mikocheni Leo kwa mara...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
RIWAYA YA CONNECTION Mtunzi: Robert Heriel Mwaka 2024 Riwaya; CONNECTION Kazi hii itarushwa katika mitandao kwa akaunti hizi: Facebook: Robert Heriel Tz Jamii Forum: Robert Heriel Mtibeli...
4 Reactions
29 Replies
10K Views
MSANII MARIO NA ABBA MENEJA WAKE,MARA BAADA YA KUJICHUKULIA FEDHA KWA NJIA YA UTAPELI WAMEUKANA MKATABA HUU WA MAKUBALIANO NA KISMATY MEDIA
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Back
Top Bottom