Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mkasa : NDOA ILIVYOTETERESHA IMANI YANGU Mwandishi: IRENE MBOWE (Irene Mbowe Kungwi Lao) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Hiki ni kisa cha ukweli kabisa, anachokielezea Flora, Mwanamke ambaye...
2 Reactions
93 Replies
17K Views
Huyu mzee wakati huo sijui alikuwa anawaza nini wakati anatunga huu wimbo . Kweli muziki ni fasihi ya wakati. Ukiangalia kwa nyakati za sasa ni kama vile kuna mtu(kiongozi) anaona matatizo ya Watz...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Mwamba aliweza kuja na biti kali ambazo zilikuwa na chembe chembe za sound za mwambao akichanganya sound za dance hall. Aliweza kutukosha zaidi na ngoma ya "na wewe tu" na "najua"...
2 Reactions
5 Replies
528 Views
wakuu natafuta nyimbo ya mr blue ile tabasam yenye version ya Q chief. Kila nnayoona kipande cha Q chief kimeondolewa. Mwenye nayo tafadhali. Mim kijana wa zamani nikumbukie enzi yetu
2 Reactions
8 Replies
2K Views
WAKILISHA - SWANGILISH Najiuliza hili swali sipati jibu kamili / Tunacho ongea wabongo kimombo Au kiswahili/ mkoloni katufilisi kiuchumi na kiakili/ anataka tufikiri tuna nuksi tusishamili/ ma...
0 Reactions
3 Replies
546 Views
SOMA ILI UJIFUNZE KITU, AMINI HUWEZI KUTOKA BURE Siku moja Dokta aliingia haraka sana hospitalini mara baada ya kupigiwa simu iliyomtaka akafanye upasuaji. Baada ya kufika hospitalini...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
STORI FUPI: JINSI YA KUTAFUTA FURAHA YAKO. Alitokea mwanamke mmoja aliyevalia nguo za gharama sana, kwa kumtazama tu ilitosha kutambua kuwa ni dada wa kitajiri. Basi alienda kwa mwanasaikolojia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MR. PREZZY - G ( STUDIO BONGO RECORDS) Sema chochote unachokitaka hata kama unaweza paka mi ndio nasema naonyesha kipaji/ kama dibaji ongea unachokitaka na piga na domo so mi ndio in chaji/...
0 Reactions
2 Replies
283 Views
PROFESOR JAY - HAKUNA NOMA Nimesimama kwenye haki/ kurumbana sitaki/ bado nipo na fani kama Saturn na Zebaki/ sitaki kujiuliza.. yupi..? ndugu yupi ..? adui/ sijui..!! Pata nasaha za ma bedui...
1 Reactions
1 Replies
810 Views
Waandaaji wa tuzo za Grammy wametoa majina ya Nominees ambao watawania tuzo za grammy 2024 na kwenye kipengere cha Best african music perfrmance ambacho yeye alipeleka kazi zake lakino kwenye list...
5 Reactions
101 Replies
5K Views
Naamini mtakufa nyinyi Kupona nitapona mimi Kama biashara ya madini Mgodi na umiliki mimi Siwezi kuanzisha zaga wakati mwisho wake siuoni Ni kama kumtusi Baba tena kwa matusi ya nguoni...
1 Reactions
1 Replies
656 Views
KIKOSI CHA MIZINGA - TUNASONGA NImefungua macho kujikuta vitani/ kimenuka nadhani watu wameshafuta majani/ Epuka kujihami mabomu yana anguka jirani/ wanajuta kukuta haki haipatikani kwa Amani/...
1 Reactions
1 Replies
519 Views
PROFESOR JAY - NA BADO Na mwaga Damu juu ya fedha/ na dini mitaa ya kati/ kuwa makini Tumuamini nani..?/ mie mc fanani mchaza vichwa Amani/ Au kiongozi Saratani / acha hanasa na mpaka Siasa...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
PROFESOR JAY - NAWAKILISHA.. Na bado mkwanja unatesa viwanja/ ni vichwa vya nyanja/ maumivu kote na ganja / tawala mic kijanja/ sasa mc vizuri muda hu kudanja/ na tupa mawe fikra miba vichaka...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Unaweza kutazama hii Season inayo muhusu Deng Xiaoping. Inaelezea alipokea China katika mazingira gani ? ( Yalikuwa mazingira mabaya sana katika historia ya China ) Inaelezea walikabiliana na...
0 Reactions
3 Replies
489 Views
Nyimbo ni kali sana lakinii Video ya kijima na kishamba sana. Ukiitazama utafikiri ni Video ya Msondo ngoma ile iliyomuonyesha Kingwendu pale kariakoo amesimama barabarani. Hebu angalia Video...
4 Reactions
5 Replies
577 Views
https://youtu.be/7p2HqW9J1iU?si=pOEEM02j3_0drEEo https://youtu.be/dQw4w9WgXcQ?si=RFM8SB91acdbDsfi https://youtu.be/izGwDsrQ1eQ?si=WJHXqKGxbjlIbiaY...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Makala haya yanaorodhesha wasanii wa Kiafrika kulingana na wasikilizaji wa kila mwezi wa Spotify (Monthly Spotify Listeners. Kama vile ungedhani, Afrobeats inatawala. Pata full list hapa. In...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
MSANII BLACK SKULL Mgambo ni jeshi halali japo si chombo cha dola. Haliundwi na rais kama yalivyo majeshi mengine isipokuwa linaundwa na sheria ndogo ndogo ambazo zinazipa mamlaka halmashauri za...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Tom Cruise Nyota wa Filamu pendwa za Mission Impossible, Top Gun, Mummy, Jack Reacher, Edge of Tomorrow Ryan Reynolds Nyota wa Filamu kali za Deadpool, The Adams, 6 Undergrounds, Free guy...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom