Habari za muda huu wadau wa JamiiForums!?
Lengo la Uzi wangu nilikuwa nataka kusema kwamba kuna vitu huwezi kusema unavikubali ila nafsi yako itasema tu, Kuna wimbo Mmoja wa Ali kiba sijajua kama ipo miingine kama maudhui hayo hayo au la
Kila baadhi maeneo nikipita ukipigwa nafsi inasema mbona huu wimbo mzuri nani kaimba ( wakati huo sijajua nani kaimba). nafsi pamoja na Moyo vyote vinasema
Nikasema niutafute niusikilize ebwana eeh Toka nimeuchukua kwenye mitandao nimeupiga weee mpaka Sasa, kweli ni mzuri hakuna lugha hovyo hovyo,
Unaitwa ALI KIBA FT JAY MELODY- HATARI nenda kauchukue sikiliza ndo naona Ngoma yangu ya week inayoanza, NIWATAKIE JUMAPILI NJEMA NA USIKU MWEMA WOTE