Dizasta alilenga nini kwenye hii nyimbo?

Mbona ujumbe uko wazi sana kuwalenga mademu wenye maringo na wagawa utamu kwa maboss wakumbuke kuwa kuna kifaa kiliwahi kutamba lakin mwisho wake aliangukia kwenye magonjwa hatimaye kufa

Iko wapi barabara isiyo na kona alikufa na utamu wake
 
Jamaa anasema ameacha kila mtu atafsiri anavyoweza hiyo ngoma.
Binafsi nilielewa kama ameidiss clouds fm

"Walikuja madogo wajanja na mapesa
Wakauliza mama ukivaaje unapendeza
Wakamuahidi ndizi, mawaridi na hariri
Lakini JASIRI rangi yake ya asili ilitesa"

"MANYOKA (waliohusishwa kusafirisha madawa na wamiliki wa Clouds) waliyavua magamba yao
Wapendeze ili waje waweze kupata fao
Walitanguliza vyeti na madaraka yao
WALIISHA KUFA TUKAWAZIKA na haraka zao (ref Albert)"

"Naziwaza features zote complete
Nilitazama sikuona DIVA (the bawse?) wa ku-compete
Bila ina ALA (za roho?) make-up za kisasa
Aliwaka sana.. mtoto Fulani konki"

Ni fasihi tu, unaweza kutafsiri vyovyote unavyoweza.
 
Hebu iweke hapa tuisikilize, wengine siku hizi mziki sio saana, hatusikilizi tunaisikia sikia kwenye magari, tukienda saluni kunyoa, bodaboda wakipita mtaani, tukipanda bajaji na kadhalika
 
Mwanajua ni fumbo gumu sana lakini ipo siku atasema alilenga nini.. ngoja tuendelee kufanya ufafanuzi wetu
 
Jamaa anasema ameacha kila mtu atafsiri anavyoweza hiyo ngoma.
Binafsi nilielewa kama ameidiss clouds fm

"Walikuja madogo wajanja na mapesa
Wakauliza mama ukivaaje unapendeza
Wakamuahidi ndizi, mawaridi na hariri
Lakini JASIRI rangi yake ya asili ilitesa"

"MANYOKA (waliohusishwa kusafirisha madawa na wamiliki wa Clouds) waliyavua magamba yao
Wapendeze ili waje waweze kupata fao
Walitanguliza vyeti na madaraka yao
WALIISHA KUFA TUKAWAZIKA na haraka zao (ref Albert)"

"Naziwaza features zote complete
Nilitazama sikuona DIVA (the bawse?) wa ku-compete
Bila ina ALA (za roho?) make-up za kisasa
Aliwaka sana.. mtoto Fulani konki"

Ni fasihi tu, unaweza kutafsiri vyovyote unavyoweza.
Tuanzie hapa
 
Nimeisikiliza hii ngoma ya Dizasta Vina. Inaitwa Mwanajua....nimeskiliza zaidi ya mara 20 Lakini hadi leo sijaelewa hii fasihi jamaa alilenga kitu gani, Kuna anaefahamu?

Huyu Dizasta

#forgive me.
Ngoma mbona iko wazi mkuu. Ngoma mbona inamhusu Magufuli kabisa.

Nilikuwa sijaisikiliza kabla, nilipoisikiliza kwa mara ya kwanza nilihisi Nyerere ila mwishoni nikahitimisha ni Magufuli.
 
Ngoma mbona iko wazi mkuu. Ngoma mbona inamhusu Magufuli kabisa.

Nilikuwa sijaisikiliza kabla, nilipoisikiliza kwa mara ya kwanza nilihisi Nyerere ila mwishoni nikahitimisha ni Magufuli.
Hahahaha, mkuu kaskilize tena maana vile umejibu Kwa uhakika utadhani kweli ulielewa

Anyway, kiufupi ni kwamba nyimbo ya mwanajua imetoka Dec 27, 2020 na magufuri amefariki March 17, 2021

Kwahiyo hadi hapo utaona kuwa upo wrong
 
Daah asee hii ngoma basi ukiiskiliza vizuri ni magufuli ....
magufuli maana nasikia Hata ziara ya mwisho alifanyia kigoma
 
Kwa TanzaniJua huchomoza baharini(dar) na ziara yake ya mwisho(kuzama) ni kigoma (ziwa tanganyika) MWANAJUA
Hii ngoma haieleweki

Kikubwa ni fasihi kila mtu anatafsiri anavyotaka

Ila mimi ni kama jamaa alikuwa time traveller kwa kuwa ukiiskiliza ni magufuli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom