Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

AFANDE SELE FT 20% MBELE YAKO NYUMA YANGU.. Intro. Yah..hahahaha mj Record sio Afande sele, asilimia na Marco chali Hahahaha chorus.. 20% . Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu...
5 Reactions
0 Replies
1K Views
Inawezakana huyu jamaa hakujua kipaji chake mapema aisee. Ana vituko mpaka mbasi. Mara moja moja anatakiwa atokee kwenye stage ya Cheka tu kama badhi ya watu maarufu wanavyofanya Kenya kwenye...
15 Reactions
39 Replies
2K Views
Wasanii wa lebo ya muziki, Wasafi Classic Baby (WCB) wameendelea kuthibitisha ubora wao kwenye soko la muziki baada ya kushinda jumla ya tuzo saba kwenye 'East Africa Magic Vibes Awards' usiku wa...
1 Reactions
1 Replies
817 Views
Kwangu best sad album ina nyimbo 19 imeimbwa na msanii The Weeknd kutoka Canada. Hii album ni moja ya album bora kabisa kuwahi kuisikiliza ilitoka October 2019 now ni 2021 still ina burudisha...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Riwaya: Maiti 15 tu Nitafurahi Tena Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi WhatsApp: +255765824715 Hii ni Sehemu ya 01 SURA YA KWANZA Zimepita takribani dakika 15 tangu awasili ndani ya ofisi yake...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wakuu! Kama tunavyojua kuwa tupo mwishoni kukamilisha hesabu za kumaliza mwaka 2024, Kutokana na hilo naomba kufahamishwa maeneo ya starehe hasa club za usiku ambazo zimesheheni aina...
2 Reactions
13 Replies
999 Views
Dominika njema.
2 Reactions
3 Replies
374 Views
SONEL - POSTA. Chorus.. Posta posta city centre Posta posta city centre Posta posta Dar hii bwana kila mtu ukimuuliza anakwenda posta / Say.. Verse.1.. hi ndio posta Dar town city centre /...
0 Reactions
6 Replies
629 Views
Habari, Ombi hili la Azam TV ni kwa sisi wapenda muziki, tunaomba mtuongezee channel ya Trace Naija. Asante
2 Reactions
11 Replies
788 Views
Naombeni mnitajie app ha kudownload music naona Vidmate inanizingua Kila nikidownload nyimbo inaishia nusu naona kama app hii imeshakua mizinguo inakera
0 Reactions
1 Replies
552 Views
Wakenya wajanja sana. Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba. Paap akaingia kwenye...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
Kama Kuna wengine unaowajua Ruksa kuongeza. Juma Nature aka Kiroboto - Sinta mpaka Nyimbo kamuimbia. Mb- Dog --- Nancy Sumari Mpaka Nyimbo kamuimbia Jagwa Kuna msanii wa mnanda alimuimbia -Asha...
0 Reactions
4 Replies
700 Views
Nyota wa muziki kutoka Bongo, Diamond Platnumz, amethibitisha ukubwa wake katika tasnia ya muziki baada ya kutajwa kama msanii aliyeongoza kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikuwa naomba kujuwa sehemu gani kwa dodoma wanauza suit za special affordable price
1 Reactions
2 Replies
541 Views
Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny...
20 Reactions
135 Replies
9K Views
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa dola 150k sawa na TSh. Miloni 374 (373,554,903) kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika mwisho wa wiki. Taarifa hii...
4 Reactions
0 Replies
780 Views
Wakati nasoma shule ya msingi kulikuwa na watu mbalimbali wanakuja shuleni kufanya maonyesho ya mazingaombwe, yale maonyesho yalikuwa na buradani ya aina yake, wanafunzi wengi walikuwa wanalipia...
23 Reactions
119 Replies
4K Views
Japo ya kuwa ni nyimbo za zamani ila always ukiweka bado unapata burudan hile hike. 1.nisamehe ya belly black ft Suma lee 2.ulofa ya top c 3.sina raha ya Sam wa ukwel R. I. P 4.lala salama ya...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
Japo mimi sio mtazamaji wa hizi mbanga za bongo ila kwa bahati nimekutana na huyu msanii STEVE MWEUSI ana kipaji apewe support atafika mbali.
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom