Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,239
Habari za Week End Wakuu Wa JF!
Wakuu, nawezaje kupata baadhi ya nyimbo za huyu gwiji la Muziki - Phil Collins bure Online?
I wish ningepata nyimbo hizi:
Nitashukuru ikiwa nitapata web kwa ajili ya ku download nyimbo hizi.
______________________________ ______________________________ ___________________________
Nimepata wimbo mmoja, lakini ni katika YouTube.
Don't lose my number!

- Do you remember,
- Can't turn back the years,
- Everyday,
- Two hearts,
- The Air Tonight, pamoja na
- Don't lose my number.
Nitashukuru ikiwa nitapata web kwa ajili ya ku download nyimbo hizi.
______________________________ ______________________________ ___________________________
Nimepata wimbo mmoja, lakini ni katika YouTube.
Don't lose my number!
Last edited by a moderator: