CLOUDS FM 88.5 vs RADIO ONE 89.7: Ipi Bora?

CLOUDS FM 88.5 vs RADIO ONE 89.7: Ipi Bora?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,194
Reaction score
39,646
Wadau nimekuwa nikisikiliza redio hizi mbili kwa muda sasa lakini kiukweli naona kama REDIO ONE Siku za hiv karibuni kama inaelekea shimoni imekuwa ya kizamani kama RADIO TANZANIA vipindi vya ajabu ajabu watangazaji wanaboa. Ni kwamba Dr. Mengi hana hela ya kuvutia watangazaji mahiri? Joyce Mhavile una jipya liupi au ndo na wewe uzee unakunyemelea? Radio CLOUDS angalau naweza kusikiliza POWER BREAKFAST but vipindi vu=ingine ni ----- mtupu.
 
Ni kwamba Dr. Mengi hana hela ya kuvutia watangazaji mahiri?

me ngoja nkujibu hapa tu,
radio 1,ea radio na capital radio haziwez zikafanana,kila radio ina vipnd vyake na maudhui ya vpnd ni tofaut japo kuna baadh ya vitu vinaweza vikafanana.Radio zote zina wafanyakazi wake so hauwez ukasema kuwa Mengi hana hela coz ametoa ajira kwa hao watu wote.

Clouds haifai kulinganishwa na radio one labda ufanye kuilinganisha na Ea radio tutakupa jibu
 
Wadau nimekuwa nikisikiliza redio hizi mbili kwa muda sasa lakini kiukweli naona kama REDIO ONE Siku za hiv karibuni kama inaelekea shimoni imekuwa ya kizamani kama RADIO TANZANIA vipindi vya ajabu ajabu watangazaji wanaboa. Ni kwamba Dr. Mengi hana hela ya kuvutia watangazaji mahiri? Joyce Mhavile una jipya liupi au ndo na wewe uzee unakunyemelea? Radio CLOUDS angalau naweza kusikiliza POWER BREAKFAST but vipindi vu=ingine ni ----- mtupu.
Radio haiwezi kupimwa kwa uwingi wa watu wanayoisikiliza,radio inapimwa kwa uwingi wa watu wenye hekima wanayoisikiliza.Hope nimejibu swali lako
 
Radio haiwezi kupimwa kwa uwingi wa watu wanayoisikiliza,radio inapimwa kwa uwingi wa watu wenye hekima wanayoisikiliza.Hope nimejibu swali lako
Wenye hekima wanapimwa kwa wuingi, wasio na hekima nao wanapimwa kwa uwingi... mhnnn kuna siku mtatakiwa kuonyesha makaburi ya wenye hekima.... mkishindwa basi hatutaona tofauti ya hao mnaowaita wana hekima na hao wasio na hekima....
 
Ume compare radio mbili zenye maudhui tofauti. Labda ungesema Clouds fm vs East Africa Radio au Radio One vs Radio Free Africa.
 
Vituo vingi vya Radio na TV kwa bongo havijui kupangilia vipindi ambavyo vitawavuta wasikilizaji sana maana watu wengi wamekalia kufuatilia taarifa ya habari pekee maana vipindi vingine havina mvuto.

Kwangu naangalia vituo vingi kwa kurukaruka mfano RFA nasikiliza kipindi cha sitosahau ni kizuri sana.Taarifa na matukio nasikiliza Wapo Radio wako active kuliko vituo vyote.Habari za michezo nasikiliza radio one na Star TV.Habari za magazetini namsikiliza PJ wa Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast mimi namsikiliza PJ tu anaposoma magazeti akimaliza nahamisha station.Kwa hiyo PB sehemu nyingine ni Pumba.Jahazi na vipindi vingine kama kile cha Milard Ayo kwa mtazamo wangu vina habari za udaku.

Taarifa za ulimwengu BBC na DW ,Mpira naangalia DSTV pekee.

Katika ulimwengu wa kiroho nasikiliza MORNING STAR RADIO FM 105.3 pekee.
 
Vituo vingi vya Radio na TV kwa bongo havijui kupangilia vipindi ambavyo vitawavuta wasikilizaji sana maana watu wengi wamekalia kufuatilia taarifa ya habari pekee maana vipindi vingine havina mvuto.

Kwangu naangalia vituo vingi kwa kurukaruka mfano RFA nasikiliza kipindi cha sitosahau ni kizuri sana.Taarifa na matukio nasikiliza Wapo Radio wako active kuliko vituo vyote.Habari za michezo nasikiliza radio one na Star TV.Habari za magazetini namsikiliza PJ wa Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast mimi namsikiliza PJ tu anaposoma magazeti akimaliza nahamisha station.Kwa hiyo PB sehemu nyingine ni Pumba.Jahazi na vipindi vingine kama kila cha Milard Ayo kwa mtazamo wangu vina habari za udaku.

Taarifa za ulimwengu BBC na DW ,Mpira naangalia DSTV pekee.

Katika ulimwengu wa kiroho nasikiliza MORNING STAR RADIO FM 105.3.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom