Jaydee ahairisha show yake ya tarehe 31

Jaydee ahairisha show yake ya tarehe 31

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,039
Naam habar ya mjini lady Jaydee ameahirisha show yake ya kutimiza miaka 13 ,ndani ya nyumbani lounge ijumaa wiki hii kutokana na kuguswa na kumuenzi rafiki yake kipenzi Albert Mangwair(R.I..
P)
Alikaririwa akitoa kauli hiyo katika mahojiano yake east africa redio huku machozi yakimbubujika na kutangaza kwamba atatoa kauli tena kutangaza lini tena show

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom