Editing card

Editing card

Mangandula

Senior Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
184
Reaction score
38
Wadau naomba msaada kwa anayejua zinapouzwa editing card, yaani nataka kwa ajili ya kubadilishia mikanda ya VHS kwenda ktk CD, Pia kutoka ktk video Camera ya analojia kuingiza katika computer. Tafadhali sihitaji deki
Naomba kuelekezwa zinapouzwa kwa nzuri, kwani kuna maeneo pale kariakoo niliona jamaa wanauza pinacle card kwa bei ghali sana Lakini humu najua wapo wengi wanaojua zinakopatikana kwa bei ndogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom