Mwimbaji mkongwe wa muziki tanzania ametangaza kustaafu na kuomba wananchi wamchangie chochote kwani hana hata baiskeli!Ikumbukwe huyu mzee amekua akitumiwa na ccm katika sherehe mbalimbali na kuambulia tshirt na kofia!
Mambo unayoyafanya huko ulikoo nimeshasikia...
Nimefahamu lengo lakoo nieleze tunachogombania...
kama ni kipato chatokanaa na bidii zangu...
Mulenga
Aache kujidhalilisha, watu tumchangie wakati tulikua tunaingia mziki kwa hela! Huo mziki ulikua kwake kazi, wako wastaafu wengi wako hoi kuliko yeye. Niliwahi kumsikia akisema muziki umemsaidia kujenga nyumba na mengine mengi. Asijilinganishe na hawa watoto wauza unga chini ya kivuli cha muziki. 'Ngurumo tunakuheshimu, wewe ni baba wa muziki wa dansi tanzania chunga heshima yako'.Mwimbaji mkongwe wa muziki tanzania ametangaza kustaafu na kuomba wananchi wamchangie chochote kwani hana hata baiskeli!Ikumbukwe huyu mzee amekua akitumiwa na ccm katika sherehe mbalimbali na kuambulia tshirt na kofia!