Movie Industry in Tanzania

Movie Industry in Tanzania

HP1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
3,362
Reaction score
878
Ndugu wanajamvi, napenda kuanzisha uzi wenye lengo la kupeana taarifa zinazohusu Tasnia ya filamu Tanzania. Tasnia ya filamu nchini Tanzania inaajiri watu wengi sana, wengi wao ni vijana, ambao vinginevyo wangekuwa bomu linaloelekea kulipuka kutokana na ukosefu wa ajira.

Wengi wanapenda kupata ufahamu kuhusu masuala mbali mbali katika tasnia hii kuanzia kabla ya uzalishaji (pre-production), wakati wa uzalishaji (production), baada ya uzalishaji (post production), uzalishaji (manufacturing) na usambazaji (distribution).


Kwa kuanzia ningependa yeyote anayejua upatikanaji, gharama, na aina bora katika eneo moja au zaidi kati ya haya atujuze


  1. DVD duplicator
  2. Printable DVD
  3. Posters
  4. DVD covers
  5. DVD compacts
  6. Uuzaji bei ya jumla kwa DVD
 
Wakuu hakuna mwenye data?
 
Back
Top Bottom