Bba 2013: Elikem (ghana) kupewa ushindi

Bba 2013: Elikem (ghana) kupewa ushindi

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,192
Reaction score
39,643
Kuna kila dalili mshiriki wa BBA 2013 kutoka Ghana Elikem "kupewa"ushindi wa mwaka huu na waandaaji wa Mashindano hayo hii ni kutokana na baadhi ya matukio yanayoendelea kutokea mjengoni humo 1. Siku SULU anatoka alifungana kura na ELIKEM lakin ikaamuliwa SULU atoke elikem abaki 2. Ugomvi wa NANDO na ELIKEM, NANDO alitimuliwa Mjengoni ELIKEM akabaki 3. Elikem kuwa mshiriki kutoka West Africa kunampa Advantage zaidi maana waandaaji hawa wanataka kuwanyamazisha mdogo EAst & Southern Africa wanaochukia watu kutoka West Africa.
 
thats useless''hiyo haiwezi kuwa sababu ya mtu kushinda eti kwa sababu anachukiwa'BigBrother ni reality show inayotazamwa kote duniani'hawawezi kumpa mtu ushindi kwa sababu za kipuuzi kama ulivyotaja'akishinda ni haki thats all
 
katika kila taasisi/familia/shughuli yoyte kuna kitu kinaitwa MICRO POLITICS (under carpet/hidden issues) so sitashangaa kwa waandaji kumpa yoyote wanaemtaka bila kuzingatia "HAKI" unayoitaja. BBA Kutizamwa duniani kote si hoja.
 
kuna mtu mmoja aliniambia sometimes wanawapa wale watu wanzotoka sehemu ambazo DSTV ina watazamaji wengi. yaani wanapata hela nyingi toka nchi hiyo-am not dure though, maana TZ ishawah pata labda ndo walikuwa wanavutia wateja may be hahaha
 
Back
Top Bottom