Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,724
- 7,536
Kwa wale ajukuu zangu tu ambao wamo ndani ya Jukwaa hili la JF;
Pamoja na mvi zangu hizi, huwa napenda pia kufuatilia affairs za wajukuu zangu. Huyu mtangazaji ni mzuri sana na kazi zake ni makini sana nazipenda mno, na ana nia njema kabisa ila aangalie asije wakati mwingine akawa anawachonganisha watoto pasipo yeye mwenyewe kujua. Anatakiwa kuwa mpatanishi zaidi kuliko kuwa mchochezi. Nadhani kwa walioangalia kipindi cha jana tarehe 23/07/2013 watakubaliana na mimi. Na kuna vingine vingi nyuma nilishawahi kuviona. halafu wakati mwingine anawang'ang'ania wageni wake kuwauliza maswali ambayo ni too personal ku-air majibu yao kwenye public. Anyway mtizamo wangu!