Download JuX - Nitasubiri mp3 wimbo special kwa mpenziwe

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,215
1,656
Capture.jpg

.
Wimbo mpya wa Jux
.
JuX = nitasubiri mp3 ... Download hapa
 
ye asubiri tu...lakini ajue kabisa ile ishakuwa chakula ya bwana jela.
 
haa haa haa labda huo wimbo auimbe pia kwa kichina.....

Nitasubiri chinnese version uwiiiii ila nshamsikiaga redioni anajua kichina yule dogo aliongea kidogo ss sijui chenyewe au kilikua kichina fake maana kichina hakiaminiki
 
Nitasubiri chinnese version uwiiiii ila nshamsikiaga redioni anajua kichina yule dogo aliongea kidogo ss sijui chenyewe au kilikua kichina fake maana kichina hakiaminiki

kweli maana ukisha taja neno china lazima utaje na neno fake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom