The Pursuit Of Happyness

The Pursuit Of Happyness

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,086
Reaction score
35,280
Kwa wale ambao hawajaangalia hii movie wajitahidi waione.Sometimes najiuliza stori kama hii ambayo hata hapa Tanzania inatokea sana sijui kwanini vijana wetu wanashindwa kufikiria stori kama hizi wanaishia kufikiria stori za mapenzi tu! Sidhani kama wanafatilia VIZURI kazi za wenzetu.In short movie yenyewe nime copy sehemu short story yake hapa chini ili ikupe hamu ya kuitazama.

"Will Smith stars in this moving tale inspired by the true story of Chris Gardner, a San Francisco salesman struggling to build a future for himself and his 5-year-old son Christopher (Jaden Smith).

When his girlfriend Linda (Thandie Newton) walks out, Chris is left to raise Christopher (Jaden Smith) on his own. Chris' determination finally pays off when he lands an unpaid internship in a brutally competitive stockbroker-training program, where only one in twenty interns will make the cut.

But without a salary, Chris and his son are evicted from their apartment and are forced to sleep on the streets, in homeless shelters and even behind the locked doors of a metro station bathroom.

With self-confidence and the love and trust of his son, Chris Gardner rises above his obstacles to become a Wall Street legend."





Director:
Gabriele Muccino
Writer:
Steve Conrad
Stars:
Will Smith, Thandie Newton, Jaden Smith
 
Kwa Tanzania watu hawachezi muvi kama ajira ila kwa wadada wanataka waonekane na wabunge wa Jamuhuri la muungano..na ndo maana bajeti zao ikizidi ni milioni 5 tu sasa apo unacheza muvi au utani kwa producers elimu zao ni ndogo hata upeo wao ni mdogo sana kwa wasela wanalipwa kisela tu labda iwe muvi yake akina dada yeye malipo yake makubwa ni kujulikana tu ili iwe rahisi kwa Wabunge n.k.
Pia wanashindwa kujua soko lao au jinsi ya kuuza muvi zao,Mfano India muvi inakua tayari imeshamlipa director kwenye uzinduzi tu kwa sababu wanajua sehemu za kuzindulia muvi zao mfano MUVI ikishatoka tu inafanyiwa promo kubwa sana na wanaangalia masoko yao mfano Dubai,Londoni,South Africa,America,Arabs Country na sehemu nyingine wanazokubalika.
Kwa upande wetu muvi zetu zinakubalika sana katika nchi za Congo,Rwanda,Burundi na hata Kenya na Uganda kwa kiasi flani pamoja na kwamba muvi zetu hazina ubora.Kama tungetumia fursa kama hiyo basi sanaa hii ingekua inakua kidogo kidogo na tungeacha kufukuzana na hawa "wanaodurufu" sijui kama nimepatia hilo neno.Kwenye uzinduzi tu Directors wangekua wamesharudisha pesa zao na faida juu hivyo ingemvutia kila mmoja hata wasomi wangeingia kwenye hii sanaa.
Lakini kwa hali ilivyo sasa mh! ni ngumu kufika au kuwafikia wenzetu.

NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom