Nasikiliza wimbo wa Kikosi cha mizinga unaitwa Usipime wameimba na TID pamoja na Saigon, Humu ndani wanadai Kinondoni ndiyo waasisi wa huu muziki!!
Wanaijua vizuri historia ya muziki unaoitwa...
JAMANI KUMBE LEO NI MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGEREZA(MAGEREZA DAY) TAARIFA YA HABARI ITV, IMENITOA MACHOZ BAADA YA KUWAONA BABA NA MWANA WAKIPAFOM WIMBO WAO WA "SEAH"
EEe tuwaombee hawa wasanii...
Huu ni mtazamo wangu kama wote tunasikiliza nyimbo za hawa wasanii utajua kweli walikikuwa nauzalendo wa kweli
WAUGUZI
wagosi wakaya tanga kunani
uhamiaji
mimi nadghani hawa nio wazalendo kwa...
nasikia umekosa tuzo za mama huko south. najua ulikuwa na matarajio makubwa ktk tuzo hizo ila hazikuwa upande wako. rudi nyumbani mwanakwetu njoo tutafakari pamoja juu ya kukosa kwako nionavyo...
Langa alifanikiwa kuumalizia wimbo wake ya mwisho ambao zaidi ulikuwa ukiyalenga/ kuongelea maisha yake kiujumla.
Siku akiifanya ngoma hiyo ndio siku aliyokutana na Julio Batalia aliyekuwa...
Binafsi sio mpenzi wa filamu za kiswahili hasa kutoka Bongo movie,Nimebahatika kuitaza filamu hii ya kigodoro-kantangaze na kunifanya niamini ni moja kati ya filamu bora kabisa za kitanzania kuwai...
ni mtanzania anayeishi USA,,,
asee dada Ana wimbo unaitwa tanzanite,,kiukweli sijaona wimbo mkali wa rnb kwa upande wa wanawake mwaka huu duniani kote,,,I'm sure na ninachokisema,naujua muziki...
Habari wana Jamii Forums,.
Tafadhali naomba kufahamishwa kwa anayefahamu.
Wimbo ambao upo katika background ya kipindi cha Diva The Boss Clouds Fm,.
Na jina la wimbo tafadhali.
Baada ya kimya cha Ally Kiba sasa Mtu na mdogo wake wakizifuata nyayo za Peter & Paul ama P Square, wameachia wimbo wao mpya 'Pita Mbele' kama kundi wakijiita 'Kiba Square...
Kilichofanyika humo...
wadau naobeni msaada wa link yoyote ambayo nitakuwa napakulia series mbali mbali, kama vile 24hrs naikosa kwa kuwa sina lik, au kwa msaada zaid naombeni program yoyote ambayo nikiipata na nika...
Mimi ni mtazamaji mzuri wa startv hasa saa za mchana. Kinachoniudhi
ni mtindo uliozuka hivi karibuni wa kurudiarudia vipindi fulani ambavyo havina
umuhimu wa kurudiwa kila siku.Vipindi hivyo ni...