Msaada jamani natafuta nyimbo hizi

Msaada jamani natafuta nyimbo hizi

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
464
Salaam nyote,
Jamani nimetafuta karibu miezi 2 sasa online hz nyimbo bila mafanikio. Mwny nazo jamani anisaidie ntamshukuru sana.

1. Bwana Mungu- Upendo kilahiro&TAG Kimara

2. Hakika wema na fadhili -By Reuben Kigame

Mungu awabariki
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwanzilishi wa thread akisubiri kupata msaada alioomba na mimi naomba kwa mwenye kufahamu jina la wimbo na la mwimbaji wa wimbo wenye maneno yafuatayo:
...Bwana wangu, bwana wangu mwokozi.
Ninakupa, maisha yangu....
Mimi hivi, hivi nilivyo,
Ninakupa, maisha yangu.....
Nakumbuka tu kwamba wimbo wenyewe umeimbwa na mwanaume na mtangazaji George Kanuti Njogopa aliyekuwa Clouds FM alikuwa akipenda sana kuupiga wimbo huo katika kipindi cha Gospel Songs (Gospel Music?) siku za Jumapili. Hiyo ilikuwa 2006-2007 kama sikosei.
Natanguliza shukurani wandugu.
 
Kwa huo wimbo wa Bwana Mungu usipopata msaada mbadala nakushauri uende pale kanisani TAG Kimara unaweza kupata kirahisi cd yenye wimbo huo.
 
Kwa huo wimbo wa Bwana Mungu usipopata msaada mbadala nakushauri uende pale kanisani TAG Kimara unaweza kupata kirahisi cd yenye wimbo huo.

Siko nchini mkuu,nisaidie kama unayo CD u-rip
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom