Tovuti ya Mikito

Tovuti ya Mikito

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,346
Nimeitembelea leo hii tovuti, wanadai wanatangaza bure kazi za wasanii pamoja kuuza muziki kwa gharama nafuu. Tovuti iko njema sana na kilichonifurahisha ni kuwa wanatoa mrabaha wa asilimia sitini kwa mauzo yanayofanyika kupitia mtandao wao.

Kama habari ya mrabaha ni kweli ni moja kati ya hatua muhimu kuelekea harakati za haki za wasanii. Kama kuna mtu aliwahi kununua muziki kupitia tovuti yao atupe uzoefu wake hapa.

https://mkito.com/about/about
 
Jamani hands down..Ruge is a Genius
Mofo...Huyu nshomile kweli yuko creative..haya wakati mkilalamika na kuangaika yeye hutumia good marketing skills ambazo pia kasomea..anawaibia behind the scenes sasa mkito ni project ambayo Ruge hau clouds iko fully involved..
Na ukichek wasanii ambao wako signed 99.5% ni THT..including Dangote aka Platnumz ambaye yuko signed and management by Ruge..and not babu tale na wengine kama wanavyozuga..inshort Tale and em all do the dirty job..the man behind signs and laughs all the way to the bank..all these us meetings za Dangote,kumeet mr President,all major endorsement ni Ruge..haya sasa wale wanoendelea kuiponda clouds na kusema jamaa mnyonyaji wasubiri sana.
 
Hii ni habari au unachangia thread ! Vou etes stupide
 
Kwa jinsi ulivyom diss kiba na haya uliyoyaandika nimepata jibu.
 
Mkuu LBG with due respect,una uhusiano na LBTG??!!

Nauliza tu ila kama huna basi tafakari kuachana na hiyo id yako,kiroho safi tu Mkuu kwani iko very close na mambo tata!!
 
Last edited by a moderator:
Ndio Maana Mkito Ina List Ileeeee......Lord Have Mercy!!
 
Mimi Pia.

Pata majibu kabisa ndo maana kukawa na freedom of speech..uyapendao wewe na kukubaliana nayo sio lazima tufanane..
Sijamdiss Kiba...ninetoa opinion zangu dms aka mwana sio nyimbo nzuri kwa masikio yangu..wanaojua mziki watakueleza haya..
Chorus iko kila sehemu ujumbe haueleweki kapanick..kama huu ndo ujio wake kachemka vibaya...
 
Keep Calm And Listen To Yourself....Kiroho Safi...Ushabiki Pembeni.
NOTE:
Hakuna Aliyezuia Right Yako Ya Kuongea.
 
Jamani hands down..Ruge is a Genius
Mofo...Huyu nshomile kweli yuko creative..haya wakati mkilalamika na kuangaika yeye hutumia good marketing skills ambazo pia kasomea..anawaibia behind the scenes sasa mkito ni project ambayo Ruge hau clouds iko fully involved..
Na ukichek wasanii ambao wako signed 99.5% ni THT..including Dangote aka Platnumz ambaye yuko signed and management by Ruge..and not babu tale na wengine kama wanavyozuga..inshort Tale and em all do the dirty job..the man behind signs and laughs all the way to the bank..all these us meetings za Dangote,kumeet mr President,all major endorsement ni Ruge..haya sasa wale wanoendelea kuiponda clouds na kusema jamaa mnyonyaji wasubiri sana.

Pathetic....hivi na wewe ni binadamu.? maana maandishi yenyewe yamekaa kirobott...mods wekeni procedure kuzuia marobott kama hili kuingia humu
 
That makes the two of us then..pathetic sees pathetic...Robot sees robot..so well done u for being so pathetic..what a MUG..
U think u know it all dont u???
Get a life
 
Mkuu LBG with due respect,una uhusiano na LBTG??!!

Nauliza tu ila kama huna basi tafakari kuachana na hiyo id yako,kiroho safi tu Mkuu kwani iko very close na mambo tata!!

Hahaaasi umfafanulie ni ushoga na usagaji
 
Back
Top Bottom